😜😉Aahahahhaaaa Kenzy, mie niko poa sana nakumithi tuu.
Korona iishe tulishane keki ya upendo...
Hii korona imefanya maisha kuwa magumu ngoja nipambane lisalimie limapengo..Maayooooo
😂😂Aahahahahaa
Limapengo limeniachia love bites shingoni leo asubuhi halafu limeniambia, haya asiegopa korona akusogelee....
😂😂
Mbona hata hajafanya kitu cha kuniogopesha koro imegonga mwamba kwangu!!
Tena niko njiani naja ili ajua penye miti Kuna wajenzi pia.
Kwasababu naijua haja ya mpenzi wangu kasie matata😉Aahahahahahaaa umeshindikana kwelii looh
Halafu umejuaje...mambo ya ujenzi nayo ni udhaifu wangu....
nakutamani....Aabeeeehhhh....