Smartbrain
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 184
- 35
Habari zenu wakuu.Kunanjia nying za kuroot huawei y300.Naomba msaada kwa mtu aliewai kuroot huawei y300 na ikakubari alitumia njia ipi? Shkran..
we jamaa kwa hyo ulivyo root ndyo utatmia lain zote au?Ahsante mkuu imekubali....thnx for sharing
√ Rooting haitoifanya simu yako itumie laini zotewe jamaa kwa hyo ulivyo root ndyo utatmia lain zote au?
√ Rooting haitoifanya simu yako itumie laini zote
√ Na ili ufanikiwe kuifanyia rooting kwanza ifanyie unlocking
√ Ili kufanya unlocking, ili simu yako itumie laini zote anzia kwenye hii thread >>> https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=515251
√ Baada ya hapo ndio ufanye utaratibu wa rooting
Dah mi mshamba kweli. Hivi rooting ndio kufanya nini?
njunwa wamavoko Mwl.RCT khalfan56 chief-mkwawa na wengineo, nna maswali machache hapa kuna kitu nnataka kukifanya ila nataka kwanza nipate mwanga
bootloader ina control kernel na recovery, sawa?
kernel ina control rom
bootloader tuki unlock means tunaweza kuifanya chochote rom, ikiwemo kuroot, kuweka custom recovery na vinginevyo...right?
swali langu, ni sehemu gani ya software ya simu ambayo inakuwa network locked (eg kwenye modem za huawei uwa tunaflash na stock firmware inakuwa unlocked) ?
kama hamjanielewa, nauliza ni kipi ambacho uwa kinakuwa network(carier) locked kati ya bootloader, recovery, kernel au rom kuzuia kubadili mtandao
je, kuweka stock rom(generic/unbranded) kwenye simu itasaidia ku unlock mtandao?
hii nvram iko located sehemu gani ya software?haitasaidia ku unlock kuna siunajua ukiweka custom rom code zinakuwa hazisomi zile ambazo zinafanya kazi kwene stock rom ni hiv kuhusu network lock inakustored kwenye RADIO NVRAM na flash does not interfere with nvram
Vipi jinsi ya Ku root huawei y210-0200
- Nimeshafanyia rooting y300 kwa zaidi ya simu tatu
- Kwa kuFuata maelekezo ya kwenye hizi link:
- LINK 1: HUAWEI Y300 SMARTPHONE ROOT GUIDE ⢠How To Unlock And Root Huawei Ascend Y300 (all versions)
- LINK 2: [GUIDE] Ascend Y300-100 (B182) Bootloader unlock, TWRP, Root, Custom ROM flash - Huawei Ascend G510 / Orange Daytona / Y300 - MoDaCo
Maelekezo kwenye hizo link yapo wazi na yanaeleweka, Feedback ukifanikiwa
- Hakikisha umedownload faili zote zinazotakiwa kwanza
- Soma japo mara mbili kwa umakini ndipo uanze zoezi la Rooting
Karibu.
Hv kuroot ndo nn??