Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,289
- 2,827
Yaani kilichonivutia chombo ni mpya kabisa na bei naiona kitonga sana, jamaa anauza anasema anataka aongezee hela achukue crown.Bora ukomae utafute probox.
Ila kama kuna ulazima wa kununua noah basi chukua sr40.
Hayo ma vox na rough road ni kama mtoto wa kishua kuishi uswahilini.
💯Bora ukomae utafute probox.
Ila kama kuna ulazima wa kununua noah basi chukua sr40.
Hayo ma vox na rough road ni kama mtoto wa kishua kuishi uswahilini.
Achana nayo, ongeza hela tafuta gari nyingine
HIvi huwa zina changamoto gani mkuu?Vox sio gari ya kuanza nayo tafuta gari ingine mkuu
Bora ukomae utafute probox.
Ila kama kuna ulazima wa kununua noah basi chukua sr40.
Hayo ma vox na rough road ni kama mtoto wa kishua kuishi
HIvi huwa zina changamoto gani?Achana nayo, ongeza hela tafuta gari nyingine
Nimekwambia acha hiyo gari bei kubwa hiyo anayokuuzia na pia ni gari sumbufu tofauti na Noah Sr 40 unauliza changamoto zake au ushanunua ndio umekuja kuuliza..HIvi huwa zina changamoto gani mkuu?
Kimbia kama umekutana na shetani.. Hakuna gari hapoVp salama wakuu.
Kuna mtu flan anataka kuniuzia Voxy 2006 kwa 7mil,
Me siyo mtaalam sana wa magari,so naomba wenye uelewa wanipe elimu kidogo kuhusu Voxy.
Matumizi yangu ni kubeba abiria na njia ni rough road na mahali pengine ni lami.
Sasa naomba kufahamu uimara wa hii gari na changamoto zake.
Sr40 the best option tatizo beiBora ukomae utafute probox.
Ila kama kuna ulazima wa kununua noah basi chukua sr40.
Hayo ma vox na rough road ni kama mtoto wa kishua kuishi uswahilini.
Umebahatika! Nyingi zilishazikwa siku nyingi sanaHiyo gari kama bado nzima kainunue haraka sana.
voxy ni gari imara, reliable, comfortable, spear zipo bwerere na bei rahisi.
Mimi namiliki voxy namba D na haijanisumbua licha ya kuipigisha kazi Kila siku.
Lkini yeye kasema anataka afanyie biashara ya kubebea abiri tena njia ya vumbi na lami kidogo, je wewe kwa upande wako unabebea abiria kwa nia ya vumbi? msaidie hapo kwanza.Hiyo gari kama bado nzima kainunue haraka sana.
voxy ni gari imara, reliable, comfortable, spear zipo bwerere na bei rahisi.
Mimi namiliki voxy namba D na haijanisumbua licha ya kuipigisha kazi Kila siku.
Barabara yetu ni full mkeka tarakea -moshiLkini yeye kasema anataka afanyie biashara ya kubebea abiri tena njia ya vumbi na lami kidogo, je wewe kwa upande wako unabebea abiria kwa nia ya vumbi? msaidie hapo kwanza.