Kaka pls nisaidie namba zako pls,Kwa kuwa hautaki kuwa specific nimekuchagulia gari TOYOTA VOXY 2002
Exchange rate nimechukulia 1620
Used VOXY TOYOTA for Sale | BF206835 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD
ukitaka REFA bandarrini pia nitafute nikupe namba yake(free kabisa no kupozana na huyo mtu)
CIF US$ 2709............... X1620 =TSH 4,388,580
Taxes + registration................=T SH 4,459,040
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000
TOTAL COST:9,537,620
Hapo sijaweka hela ya BIMA ln budget yako ya 10M ni sahihi
shipping charges zinaweza kuwa zaidi kuligana na vipimo vya uzito wa gari
hapo nime assume ni NON-UTILITY CAR(sio la biashara)
SIKU NJEMA NA MAFANIKIO
pia utakuta bei ya gari la 2005 pamoja kuwa cif ni kubwa kwa 900$ kuzidi la 2002 lkn utakuta ushuru wake ni pungufu kwa hiyo hiyo hela
Kweli mkuu Njunwa ni hapo bforward
COST APROXIMATION FOR FORD ESCAPE 2001
CIF US$ 3,616............... X1620 =TSH 5,857,920
Taxes + registration................=T SH 4,881,787
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000
JUMLA .............................. ..=TSH 11,429,707
We andaa 12M kabisa
vp likiwa la biashara inakuwa juu zaidi kaka au??
maana hiyo gari nataka iwe ya biashara Kaka.
Mungu akufanikishe kwa wema waki na utu wema saana.
namaliza semina then naja dar soon just for that.
Mkuu unaweza nosaidia Namba yako tafadhali,for proper use,
Nkija dar tuonane tafadhali.
Nakuomba nipe link ya gari unalotaka kununua kutoka nje nikupigie hesabu za ushuru najua wengi watakujambisha
N.B Magari yote kuanzia mwaka 2004 na kushuka kama lako hilo ni vyuma chakavu hivo ushuru uko juu
Kwakuwa bajeti yako ni dogo badirisha mawazo utafute noah ya 2005 ambayo rate yake kuwa taxed ni 70% wakati chakavu ni 80%
Nakusubiri nikupe msaada
note:la 2005 ni CIF $3500
Kwa kuwa hautaki kuwa specific nimekuchagulia gari TOYOTA VOXY 2002
Exchange rate nimechukulia 1620
Used VOXY TOYOTA for Sale | BF206835 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD
ukitaka REFA bandarrini pia nitafute nikupe namba yake(free kabisa no kupozana na huyo mtu)
CIF US$ 2709............... X1620 =TSH 4,388,580
Taxes + registration................=T SH 4,459,040
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000
TOTAL COST:9,537,620
Hapo sijaweka hela ya BIMA ln budget yako ya 10M ni sahihi
shipping charges zinaweza kuwa zaidi kuligana na vipimo vya uzito wa gari
hapo nime assume ni NON-UTILITY CAR(sio la biashara)
SIKU NJEMA NA MAFANIKIO
pia utakuta bei ya gari la 2005 pamoja kuwa cif ni kubwa kwa 900$ kuzidi la 2002 lkn utakuta ushuru wake ni pungufu kwa hiyo hiyo hela
Kiongozi njunwa wamavoko
Mimi sio mtaalam wa tra lakini nimeangalia hesabu ulizompigia KAKAO hapo juu nadhani kuna mahali utakuwa umepotoka kidogo.
Kwa mujibu wa calculator ya tra (see below), Noah/Voxy ya 2004 kushuka chini atalipa ushuru unaokadiriwa sh 4,460,000 (ex. rate 1620)
[TABLE="width: 417"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Current Retail Selling Price..................[/TD]
[TD]29,039[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation..................................[/TD]
[TD]80%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value..................................[/TD]
[TD]3,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value........................................[/TD]
[TD]3,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%...............................[/TD]
[TD] 750[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years..........................................[/TD]
[TD] 937[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Excise Base.....................................[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3,750[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 5%................................[/TD]
[TD] 187[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base........................................[/TD]
[TD]4,875[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%........................................[/TD]
[TD] 877[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes....................................[/TD]
[TD]2,752[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes in TSHs.........................
[/TD]
[TD]4,459,040
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Other charges kwa tra:
Registration tax................................ 150,000
Annual Licence Feee (1501-2500cc)..... 200,000
Fire Inspection Fee............................ 30,000
tra pekee watakamua Shs. 4,839,040 which is tallying with my initial estimate at SHS 4,970,000 (shipping line cost inclusive). KAKAO ikitokea ukafanikiwa kulipa tra SHS 4,459,040 (tax + registration) nicheck kwenye namba yangu nikutoe na SHS 50,000 ya mafuta (not a joke).
Kwa gari ya 2005 tra watachukua kiasi kisichopungua SHS 3,580,000 (tax + reg), sasa hapo angalia price difference kisha fanya maamuzi.
Otherwise there is NO MAGIC, fungua Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools
Pakua valuation calculator.
At day end, Ukimtegemea Mungu huwezi KUJAMBISHWA
Pia kama hauto MIND waweza nielimisha hayo malipo ya driving licence zote naana sina knownledge hapo
Kwa ninavyokumbuka Annual Licence fee ziko hivi:
1. 501 - 1500cc.........100,000 + 20,000 Fire
2. 1501 - 2500cc........200,000 + 30,000 Fire
3. 2501cc - above......250,000 + 40,000 Fire
Registration fee ni moja kwa CC zote SHS 150,000
Pamoja Daima.......