Mkuu Njunwa,samahani ni kutoka beforwad la 2004 ni $2700 CIF TO DAR PORT.
NA 2005 NI $3500 to Dar Port.
nisaidie Kaka.tafadhali,
Voxy Joah ya 2002 vp??kwa CIF $2600??WITHVORHER CHARGES??
WAIT TO HEAR FROM YOU Mkuu wangu
Kwa kuwa hautaki kuwa specific nimekuchagulia gari TOYOTA VOXY 2002
Exchange rate nimechukulia 1620
Used VOXY TOYOTA for Sale | BF206835 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD
ukitaka REFA bandarrini pia nitafute nikupe namba yake(free kabisa no kupozana na huyo mtu)
CIF US$ 2709............... X1620 =TSH 4,388,580
Taxes + registration................=T SH 4,459,040
Port charges....not more than.. =TSH 250,000
Shipping fees...not more than...=TSH 150,000
Agence fees.......................... =TSH 250,000
Plate number fees..................=TSH 40,000
TOTAL COST:
9,537,620
Hapo sijaweka hela ya BIMA ln budget yako ya 10M ni sahihi
shipping charges zinaweza kuwa zaidi kuligana na vipimo vya uzito wa gari
hapo nime assume ni NON-UTILITY CAR(sio la biashara)
SIKU NJEMA NA MAFANIKIO
pia utakuta bei ya gari la 2005 pamoja kuwa cif ni kubwa kwa 900$ kuzidi la 2002 lkn utakuta ushuru wake ni pungufu kwa hiyo hiyo hela