noah kwa ajili nursery school inahitajika

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Kwa mwenye Noah nataka nifanye nae biashara kama yupo tayari kwa Hilo ntaingia nae hata mkataba WA kisheria akitaka na malipo ya Ni 200,000/= kwa wiki kwa mtu yoyote aliyetayari wiki ijayo shule inafunguliwa shule IPO ubungo nhc watoto karibu wote wanaishi sinza piga 0714064767
 
Langu litakuwa available kuanzia Feb, incase hautakuwa umepata mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom