Habari zenyu bhana?
Nitapenda kujadili maana ya "NO WOMAN NO CRY" ambayo ni title iliyobeba maudhui katika wimbo huu wa Bom Marley.
Wengine hutoa maana ya kua (nanukuu) "Hakuna/pasipo na mwanamke, hakuna kilio."
Ila wengine wametafsiri kua (nanukuu) "mwanamke hapaswi kulia"
wenzangu mnatafsiri gani juu ys title ya wimbo huu?