No to condom use-kilaini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No to condom use-kilaini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Written by Mkinga Mkinga [​IMG]There is no way the Catholic Church would allow the use of condoms by its faithful, Auxiliary Bishop Methodius Kilaini of Bukoba diocese has affirmed.

  “It’s not easy for the church to make a U-turn on its stance regarding condom use. If it allows the use of condoms that would mean the church is allowing its congregation to behave against the religious teaching to commit sins. We are going to seek clarification from the Vatican on this issue,” Bishop Kilaini told The Citizen in a telephone interview yesterday.
  He emphasised that the local clergy of the Catholic Church will not advise believers to use condoms.
  Reacting to reports that the head of the Roman Catholic Church, Pope Benedict XVI, has given a green light to the use of condoms in certain circumstances as a way of protection against HIV, Bishop Kilaini said that the church in Tanzania sticks to its anti-condom campaign.

  A Vatican spokesman has clarified that the Pope was not justifying condom use though he said it could in some cases be a first step toward moral behaviour.
  The comments of Benedict XVI were recorded in a book, ‘Light of the World: the Church and the Signs of the Times’ which is scheduled for release today.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  itabidi atupe na kile kitalu cha st joseph tuwe tunazikia kwa style hii..ni kweli dhambi kubwa kutumia kondom maana unazini na ukiwa kwenye ndoa kondom ya nini??lakini je tuangalie pope anasema tujilinde na cnm na mh hapa anaitaji msaada wa pope nexty??tunagalie madhara ya kutumia na kutotumia maanan mh kilani labda nikueleze hii ni hali halisi wengi wanaoingia na condom kwenye kuzini wanaishia kurudi nazo majumban mwao na wengine huishia kukutwa na wake zao mfukoni ndipo ndoa inapoanza kuwa DOA
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Its common sense dini yoyote haitakiwi kupigia debe kondom bse unajiuliza itumike kwa nani mkeo au nyumba ndogo?kama sio kwa machangu.
  Wapo watargue kuwa itumike kupanga uzazi ila zipo njia nyingine sio lazima condom
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280

  kama mkeo anatumia vijiti yeye mi nimetumia kondom mpaka nikaambiwa nw ruksa akitokea mwingine heri..so soma nilichoandika vizuri uje tena
   
 5. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  I like misimamo ya askofu Kilaini hakika kwa hili Pope ameteleza ingekuwa bongo tungesema kanunuliwa na mawakala wa kondom
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Dec 3, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Sasa hapo nani wa kumsikiliza na kumtii, Pope au kilaini!?
   
Loading...