No strings attached....

Wote above mmepatia... but I tend to fully agree with NEMO above zaidi. I quote "Technically yes, but in reality I think not . You may start as such but somehow and somewhere along line ...................it ends up becoming a mess. From what I have seen so far, of similar relationship arrangements eventually, emotions and feelings creep into one of the patners and then inakuwaga matatizo"

Thats a clear fact of the issue...!
 
Mmmmh hii ni ngumu, inachosha na inaumiza. Mmmm na kama una wivu kama mimi ndo balaa zaidi, ingawa yawezekana wapo watu wanaweza hiyo.
 
hii ni ngumu sana kwa wanawake. hii ndio conclusion niliyofikia. Kitu hakitolewi bure. Labda awe amelewa...
 
Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship wala commitment yoyote isipokuwa ni company pamoja na sex for leisure tu. no financial obligation, no whereabouts, no wivu, no future....ni kupeana kampani ikiwemo sex pale mnapojisikia tu...naomba kupata maoni tafadhali

Wapo wengi sana - Mimi ma-ex wangu ndiyo tunavyoishi - japo wengine wameolewa!
 
Mnaweza mkaanza vizuri kwa hayo makubaliano, lakini tatizo ni mmoja wenu anaponogewa na manjonjo ya mwenzake.......
 
Mh! Watu wameikubali hii ila kesho akitokea mtu yamemuharibikia atalaumiwa hapa na kutukanwa! Mara kicheche blah blah!
 
Nishawahi kupata mmoja alikuwa bosi wangu, divorced, independent, financially stable. She called whenever she wanted it (I'm serious about her wanting 'it', not wanting 'me'). Siku nyingine alikuwa ananiita kwake odd hours of the night, nachukua taxi nakwenda, asubuhi narudi ghetto kwangu. Sikuwahi kunywa hata juice pale kwake, na hatukuwahi kwenda outing yoyote, nikaelewa mwenzangu shida yake ni naniliu tu, hataki 'strings attached'. Siku nilipoelewa tofauti ni pale aliponiambia nibaki naye ofisini jioni ana issue, nikadhani mwenzangu leo anataka kujaribu fantasy fulani ofisini kwake na mimi, nikaona itakuwa poa. Kumbe alichoniitia ni kuninanga mara 'unaendekeza mashangingi, hawatakusaidia kitu, blah blah blah' Nikamwuliza vipi mbona sikusomi? Akadai amesikia natoka na bosi mwenzie mwingine sijui nini nini (of course ni uongo sijui aliuokota wapi), lakini nikamshangaa imekuwaje tena si ulisema mwenyewe kuwa iwe 'no strings attached, sasa hii ndo nini? Ni ngumu hii kitu mazee!
Mtu B,malizia story basi.....
 
Negro wake up sleeping for fun and no relationship? Even friends they have platonic relationship and they do not do the s** word...

It ain't about being Negroid or Mongoloid its about change of times and being realistic of today's life....Lets not be inferior in every angle just because we have melanin deposition in our skin....
 
Wapo wengi sana - Mimi ma-ex wangu ndiyo tunavyoishi - japo wengine wameolewa



Mkuu huoni unaiba wa wenzio sasa? Huyo ambaye kwa sasa mke wa mtu/mme wa mtu (X wako) naye unamwita partner? Nadhani mtowa mada alikuwa na maana ya kuwa watu hawako kwenye commitment nyingine kama nimemwelewa!


 
Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship wala commitment yoyote isipokuwa ni company pamoja na sex for leisure tu. no financial obligation, no whereabouts, no wivu, no future....ni kupeana kampani ikiwemo sex pale mnapojisikia tu...naomba kupata maoni tafadhali

Mkuu mahusiano ya mtindo huo yapo sana ughaibuni, not sure kwa huko nyumbani.
Mambo ya booty call...............
 
Back
Top Bottom