No sms, call after 2weeks.

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
965
244
Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel Ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo Inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha Tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.
 
Sasa kama ukimpigia mnaongea fresh unalalamika nini?Maana mpaka wiki ipite hamjaongea ina maana ya kwamba mmechuniana na sio yeye pekee amekuchunia.
 
Sasa kama ukimpigia mnaongea fresh unalalamika nini?Maana mpaka wiki ipite hamjaongea ina maana ya kwamba mmechuniana na sio yeye pekee amekuchunia.

most of da time, ambapo hatuja wasiliana kipind kirefu, huwa na try kumpima km atafanya mabadiliko kwa yale tuliyoahidiana. Ila naona no changes. Ila kiukwel unaweza jitahid kuwasiliana takriban mwez mzma, we ndo unatuma msg na kucol 2. Ukikausha nae kmya no reply hata za sms. Kwel?
 
mapenzi ya aina hiyo,yanaudhi kwa kweli.wewe unataka huyo mtu,muwasiliane,specially kama ukimkumbuka,yeye hana habari na wewe kabisa.kwa nini mwaqnzo hakuwa hivyo?maana ni kama amekuzoesha.hizo ndio dalili za kupoungua kwa mapenzi yenu.na wewe jitahidi ukae kimya,kitakachotokea,kubali matokeo
 
nilishapractice hvyo, anakuja ananicall nikimuliza kwann anafanya hivyo, hana sababu ananijibu "hata mimi sijui,Niwie ladhi" kana kwamba hawez jicontrol. Ila m2 unayempenda unaweza kukaa wik bila kuwasiliana naye?
 
Mwanzo wa mapenzi watu hutamani waende hata polini wakaishi peke yao ndo maana hata calls huwa ni za fujo sana! Ila mkishazoeana tu na calls zinapungua!!
 
he he he he, bukua bukua, nyanga hazijakaa mahali pake nini???
Mie nililipiwa na kijiji, so nilikuwa nasoma hadi nyuma ya kitabu kujihakikishia sirudishwi home.

Ukiona manyoa, anataka kuoshwa.
 
he he he he, bukua bukua, nyanga hazijakaa mahali pake nini???
Mie nililipiwa na kijiji, so nilikuwa nasoma hadi nyuma ya kitabu kujihakikishia sirudishwi home.

Ukiona manyoa, anataka kuoshwa.

ukimaanish sina changu, nazugwa mkuu!
 
Usiwe mjinga. huyo demu anataka muende next stage ya relationship lakini wewe Mr Nice guy, (utakuwa ni wale wanafiki wa kuripoti ibadani sana) uko kwenye comfortable zone ya kupigiana simu za ah sweetie missing you, " natapika hapa nilipo. Nadhani pia una simu yenye laini mbili.
Grow up before she meets a grown up man where she is!
 
huwa inakera mawasiliano yanapokuwa ya upande mmoja but chukulia poa tu so long as bado unafeel kwamba mnapendana
 
uwe mbayuwayu, ya kuambiwa changanya za za kwako.

Wanawake wanapenda sana kuwasiliana na wapenzi wao hadi kero.
Sasa huyo anapitisha hadi wiki jiulize viswali.

Kwa mtazamo wangu wewe anakuchukulia kama husband material
ila huko kishapata desa material au outings material
na hajamwambia huyo mtu kuwa kaacha husband material huko kwao

kwa hiyo labda muda mwingi wanakuwa wote inabidi wewe uwekwe pending kwa muda.

Kuibiwa si mbaya sana at times, huh.
Inafanya ujue thamani ya ulichonacho na kufanya ujue kama utaweza himili mikiki

ukimaanish sina changu, nazugwa mkuu!
 
Usiwe mjinga. huyo demu anataka muende next stage ya relationship lakini wewe Mr Nice guy, (utakuwa ni wale wanafiki wa kuripoti ibadani sana) uko kwenye comfortable zone ya kupigiana simu za ah sweetie missing you, " natapika hapa nilipo. Nadhani pia una simu yenye laini mbili.
Grow up before she meets a grown up man where she is!

km cjakupata fresh mkuu, yuko chuo Mbeya mkuu... By da way kwel m n mr. Nice guy, na 2nafahamia snc O Level, co kwmb najuana naye snce jana au juz, we started from u best frnd, then 2kafika hapa. So wats your point mwana
 
huwa inakera mawasiliano yanapokuwa ya upande mmoja but chukulia poa tu so long as bado unafeel kwamba mnapendana

cartura. dah! Kaz mjomba! But she z wife material kiukwel ila tatizo ni hilo tu.
 
Also you are not in her mind as it used to be.
A woman would chit chat with you all the time kama anakuwaza na kukufikiria muda mwingi.
Labda masomo yamemtinga.

Ila usi rule out msemo huu: fimbo ya mbali haiui nyoka
 
km cjakupata fresh mkuu, yuko chuo Mbeya mkuu... By da way kwel m n mr. Nice guy, na 2nafahamia snc O Level, co kwmb najuana naye snce jana au juz, we started from u best frnd, then 2kafika hapa. So wats your point mwana
Na wewe kaushia tu,uwe unampigia mara moja moja
 
Back
Top Bottom