No sms, call after 2weeks.

ndugu
yangu tuulize wezi tutakuambia.siku hizi tunaruhusu hivi videmu
viwapigie vibwana vyao comfortably na siye tukiwepo na wala hatumaind
coz tunajua hapo tunapita tu....mi mtazamo wangu hapo kuna kitu
kinaendelea behind the curtain....anyway just my opinion
Mbona unamrusha roho mwenzio Dr?
 
Pole sn,as i know mahusiano ya mbali mbali ni magumu sn,na hasa kwa wanachuo ni mtihan mkubwa,kuna uwezekano mkubwa wa nafac yako kuwa ndogo moyon mwake,either kwa kukutana na new friends,maisha mapya na akili imepanuka zaidi na yuko kwenye kufanya maamuz sahihi kwa chaguo alilofanya,nakushauri vumilia but ucweke hope sn,endelea na kumpigia bila kuchoka km kapata mpya itafika cku kuprend kutamchosha atakupa ukweli ambapo hautakusumbua coz utakua unalitarajia!acha ashindwe mwenyewe!
 
Ndio hapo sisi wanaume huwa tunakosea, mkuu nikuambie kitu kimoja toka mwanzoni kabisa ulivyoanzana na huyo mwamamke mimi sijui lini, ila ile time umeanzana nae tu kama hata kama ulikuwa unampenda sana usiwe unaaonyeshha la sivyo utabuluzwa vibaya sana usiwe unaita mpenzi, au dear neno lolote lile usiite la kimapenzi labda mara moja kwa siku, sasa inaaonekana ulimuonyesha upendo wako wote ndio maana, na kama huwa unamwambia sana nakupenda nakupenda stop, na kama amepunguza mawasiliano na wewe punguza pia....that's how we do. ukifa sana kwa mwanamke atakutesa so kuwa makini sana....Akiendelea kukuzinguaa then just know kuna something kinaendeleaa piga chini mapema kabla hajakuwahi then haraka tafuta mwingine mkali kumzidi, Uta enjoy maisha la sivyo usipokuwa smart kwenye hii kitu inaitwa mapenzi kila siku utakuwa na mawazo...
 
Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel Ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo Inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha Tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.
Ndugu hatuchekani we wiki mbili? mwenzio mwezi sasa huyoooo nimesepa kimya kimya Lol nimetafta Super sub we endelea kusubiri utaachiwa manyoya na kuku kashakuponyoka.........its serious na najua ukimuuliza atakwambia ooh niko busy ooh shule ngumu hamna lolote hapo huwezi kosa muda wa sms....ina maana hatunii simu? anawasiliana na nani this time? au simu ameuza? ENDELEA KISUBIRI UONGO WAKE mwenzako yamenishinda!!!!!!!
 
Kama she was like that tangu mwanzo wa mahusiano yenu unalalamika nini?.I mean hapend kuchat,au kukal'.ila kama kabadilika,hakua hivyo ujue kuna jambo hapo mkubwa..Akirud likizo kaa nae,akuambie yotee,mtu mwingine,hapendi kuongelea mambo muhimu kwenye simu.Au kuna mambo umemuudhi.
Mtu kama ni mpenz wako,hawez kukaa kimnya like that.Labda kama rafiki tu.
 
Friends, nina GF tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel Ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo Inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha Tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.

Labda kasikia unamwingine,yanini ajichoshe decent gal wawatu?.
 
Mwanzo wa mapenzi watu hutamani waende hata polini wakaishi peke yao ndo maana hata calls huwa ni za fujo sana! Ila mkishazoeana tu na calls zinapungua!!

Umenena kipipi penzi likikolea! Tena kwa mtoto wa kike! Mtatamani muhamie polini lol umenichekesha sana. . Ila hata lipunguwe vp navojua watoto wa kike tunapenda sana mawasiliano yani iko kitu hapo asikudanganye mtu!
 
senetor! Cjaoza kihivyo tatizo, katika sample nilizonazo hii ni thd best one, kuipoteza kizembe HAINAGA. Cjaona Green Light. Ebu nipe busara zako..
Mzee wa Bachelor degree in Demostration & riots (jokes)

Tabia ya kuchambua wanawake kama viazi,utakuja kubak na miogo michungu,inawezekana na yeye kwenye sample zake haupo kabisa.Find the one whom you think,u love kwa vigezo vyako.Hizo sample zitakufanya ubak na nyanya mbovu.Take da point.
 
Wanawake ndio hupenda sana hayo mambo ya kuchatichati na kupigiana pigiana simu, sasa kama kwako ni tofauti ukae mguu sawa labda ameshapata wale brothers in christ saa zote wanazunguka pamoja (wabaya sana hawa) au wale wanajiita group discussion members ( na wenyewe ni lethal lol) :lol:
 
Yuko chuo, halafu ghafla mawasiliano yamepungua! ..................imekula kwako kamanda, kama huamini fanya ka-suprise nenda huko walai waweza rudi kichwa chini mikono nyuma weyeeeeeeeeeee!

Jipe moyo mwenzio yuko salama utaishi maisha ya raha sana na mpenzio. Isitoshe hiyo kitu haimaliziki hata kama inaibiwa!
 
Wanawake ndio hupenda sana hayo mambo ya kuchatichati na kupigiana pigiana simu, sasa kama kwako ni tofauti ukae mguu sawa labda ameshapata wale brothers in christ saa zote wanazunguka pamoja (wabaya sana hawa) au wale wanajiita group discussion members ( na wenyewe ni lethal lol) :lol:

dalili zote zinaonyesha umefikwa na kadhia hiyo mkuu!
 
friends, nina gf tuna muda mrefu katika mahusiano. Mwanzon alikuwa anapenda sana charting na midnight calls nyingii.. Ila baadae akabadilika katika matumiz ya cmu, kuchat kukapungua, kupigiana simu na ni baada kwenda chuo, ila hakukua na mabadiliko yoyote katka uhusiano 2na meet fresh, hamna tatzo lolote mf. Kugombana. Nikamweleza kuhusiana na mabadiliko haya akanitel ye mwenyewe nowdayz amejigundua c mtumiaj mzur wa simu so inatokea kusahau v2 km kuchat na kucall. Nikamsisitiza ajitahid abadilike cz napenda sana kuchit-chat ,tukakubaliana atajitahid , ila tatizo mpaka sasa kama karibu mwaka , mwenzang haonesh mwamko katk mawacliana though 2po mbal ye yko chuo nam niko chuo mkoa mkoja mwengine. Tunakutana dar pindi cha likizo. Tatizo inaweza ikakata hata wik na nusu no sms no kubeep ,ukipiga 2natok fresh, nikilalama ye n kusema sorry na kuadmit kwmb anashindwa kujicontrol. Nimejitahid kucopy tabia yke kuwa nisiwe addicted katka kuwasiliana na shindwa, lakin katika mahusiano ni muelewa, na hatujawah kutofautiana. Je ni tatizo la kawaida nikimanisha tabia ya mtu? Ama.......
Msaada wa mawazo wakuu.

wanaume huwa hatlalamiki bana.........tafakari chukua hatua.
 
wanaume huwa hatlalamiki bana.........tafakari chukua hatua.

na mwanaume hapaswi kukurupuka katika maamuzi, na ndio mana nimekushirikisha ili nipate na wazo lako, kwa namna moja au nyengine sote tunanufaika kwa kupata elimu mbadala. One!
 
Mhm hapo umeliwa tu, mademu wa chuo! vyuo vyote tu hata vya mikoani mambo yaleyale anajamaa huko chuo unaweza fanya ka research kakushtukiza kwa kwenda huko bil kumtaarifu utabaini ukweli.
 
Back
Top Bottom