hivi huko TRA kuna nini? mbona wanawake wako kwenye management za mamlaka nyingine kama elimu,BOT,mawasiliano,usafiri wa anga etc etc.
pia tuwe wakweli jamani. wanawake ni wachache kulinganisha na wanaume ktk vitivo vya Sayansi,Engineering,Biashara,Uchumi...
NB:
kuwepo ktk management ni lazima uwe umepanda ngazi za kiutawala. sasa wengi wa walioko kwenye management ya TRA wana miaka 50 kuendelea. sasa wanawake wangapi walisoma B.Com au Econ' about 25years ago?