Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
Kwakweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.
1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.
Kuna nini kimetokea???????
The fear of God does not exist in our hearts.So our bodies are no longer temples.They are being used as any other assets
Kwa kweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.
1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.
Kuna nini kimetokea?