Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Mtajibeba nyie tongozatongozaKweli ndugu yangu siku hizi usije ukamtongoza mwanamke ukasema umemtania lololo unatafuta matatizo kwani atakupigia simu huyo
Wamekuwa kama noti za jero, itabidi maprofu waliootatua tatizo la jero zinazochakaa kwa ku-propose zitengenezwe coin za 500 na elfu na miatano, basi waje pia watoe ushauri sijui watoa hizi beyond repair zetu halafu tuletewe vuimbe gani, sijui!Kweli ndugu yangu siku hizi usije ukamtongoza mwanamke ukasema umemtania lololo unatafuta matatizo kwani atakupigia simu huyo
Kwakweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.
1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.
Kuna nini kimetokea???????
Imekaa safi sana hii. Dah nimejiunga jf kama wiki. Nilikuwa namiss mambo ya ukweli sana. Mi nawajua wadada fulani 3 tena kwa kabila ni wanyakyusa, wote wanafyekwa na marafikizao wa kiume karibu 12 kwa nyakati tofauti. Ili janga.
Kweli ndugu yangu siku hizi usije ukamtongoza mwanamke ukasema umemtania lololo unatafuta matatizo kwani atakupigia simu huyo
unatafuta ugomvi name kina mwa