No sensa

huo ndo msimamo, serekali na bakwata kazi wanayo
 
watahesabiwa watake wasitake ipo mbinu yao ya kuwabana
 
Mkilazimisha sana watahujumu takwimu..........mtu wa miaka 30 atasema 40, au kuongeza idadi ya waislamu walio nje ya nchi etc............
watahesabiwa watake wasitake ipo mbinu yao ya kuwabana
 
Hivi kuliko kupiteza pesa si wachukue idadi ya vteti vyw kuzaliwa wa minus idadi ya death certificate wanapata idadi ya watu wanayotaka....wasituchoshe bana
 
huu mtego rahisi sana. Wasipohesabiwa tutafahamu idadi ya wakristo nchi hii kwa urahisi. Watakaohesabiwa ndiyo watakuwa wakristo by default na tutaminus toka kwenye present estimates za 43m tutajua waislamu ni wangapi. Very simple equation! Na wasijetuambia kuna mamluki kwani wao wameshatangaza hawahesabiwi
 
Kwa nini isitangazwe kwamba wakati wa zoezi la sensa serikali itatoa ubwabwa, pilau, kashata na kahawa? Hiyo ni mbinu pekee itakayowavuta hao jamaa.
 
Kwa nini isitangazwe kwamba wakati wa zoezi la sensa serikali itatoa ubwabwa, pilau, kashata na kahawa? Hiyo ni mbinu pekee itakayowavuta hao jamaa.

Una maana hata watu wazima wanapenda kla kla au unazungumzia watoto wadogo.
 

So simple as you think!
 
Kwa nini isitangazwe kwamba wakati wa zoezi la sensa serikali itatoa ubwabwa, pilau, kashata na kahawa? Hiyo ni mbinu pekee itakayowavuta hao jamaa.

Kawadanganye wa kijijini kwetu, lakini hapa hadanganyiki mtu
 
Mkubwa hujui maisha ya tz nini au upo nje ya nchi?ngoja nikujuze watz wengi hawana hivyo vyeti na wala hawafuatilii zaidi hivyo vya vìfo
 
Mimi yangu ina ili bango halafu nayasambaza anayoyataka aniambie nimletee
 
Wanaopinga sensa si wa dini yetu. Dini yetu inakukubaliana na sensa, kwa kuwa sensa ilikuwepo tangu enzi za mitume, na mitume waliheshimu sana sensa. kwa hali hiyo, kila anayepinga sensa, anapinga maelekezo ya mitume waliotangulia. Msituhukumu wengi kwa mawazo ya waasi wachache.
 
Makafiri bwana utawaona tu kwa kudakia mambo yasiyowahusu
 
Mimi nikiwa kama msimamizi wa kanda katiaka sensa nasema kila mtu atahesabiwa wait and see
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…