Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
umeongea point sanaNO RETREAT NO SURRENDER
Mtu pekee ambaye tayari ameshashindwa ni yule ambaye ameshakufa, maana huyu hana njia yoyote anayoweza kutumia kuondoka kwenye kushindwa kwake.
Ila kwa wewe ambaye tayari upo hai, hata kama unapitia magumu kiasi gani, jua ya kwamba bado hujashindwa.
Kwa kupata nafasi ya kuendelea kupumua leo tayari una nafasi nyingine nzuri ya kubadili chochote ambacho hakiendi vizuri kwenye maisha yako.
Kumbuka maisha ni yako na chaguo ni lako. Chagua maisha ya ushindi na mafanikio na hakuna kitakachokuzuia. Chagua maisha ya kushindwa na utakuwa umejizika mwenyewe.
Asante kwa maoni yako.Haijalishi unapata fedha kiasi gani, bali fedha kiasi gani unaweza kuweka akiba, fedha kiasi gani unaweza kuwekeza, na kwa kiasi gani fedha hiyo itakutumikia.
Asante kwa kusoma...umeongea point sana
Asante kwa kusoma.Kweli tupu
Asante kwa kusomaaa.Loud n clear.
Ujumbe mzuri.Wakati mwingine mbio zinasaidia jamani na tusifikiri kila pambano atashinda daud kuna vita vingine kila ukiingiza mguu unapewa za uso ni ujumbe wa kuhamisisha ila kuna vita na vita.
Yaah galacha kwenda kujipanga upya au kuanza moja si ujinga sometimes unafanya kitu kisha results zinakuwa negative so will you hold on it?unakaa pembeni na kutafuta mbinu mbadala all and all usikate tamaa nadhani nimekuelewa hivyo shukran ndugu yangu.Ujumbe mzuri.
Asante kwa kusoma.Very true.
Asante sana asee.Words valuable than silver and gold or any precious jewels.