Jana nilijawa na hasira za kukamatwa Kwa Lissu,niliamua kuwachangia Chadema laki9, ili mapambano yaendelee"Kama WanaChadema tulitumia HAKI yetu kukishauri Chama chetu kupitia (waraka maarufu wa G55), lakini mpaka sasa ni wazi Chama hakijakubaliana na ushauri wetu. Katika Demokrasia kuna wengi wape, wachache wasikilizwe.
Ukifanya Fact-Check wengi wanasema kwa sasa twende na #NoReformsNoElection, sasa ni muda wa kuunganisha nguvu yetu katika #NoReformsNoElection.
Hivo basi nasihi tuendelee kuheshimu msimamo na mwelekeo wa chama kwa uaminifu na mapenzi yetu yote, adui yetu ni CCM" @VitusNkuna,View attachment 3299874
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Jana nilijawa na hasira za kukamatwa Kwa Lissu,niliamua kuwachangia Chadema laki9, ili mapambano yaendelee
Unabii inasema kila watakapojaribu kuzuia ndipo watakikuta wanaharibu zaidi."Kama WanaChadema tulitumia HAKI yetu kukishauri Chama chetu kupitia (waraka maarufu wa G55), lakini mpaka sasa ni wazi Chama hakijakubaliana na ushauri wetu. Katika Demokrasia kuna wengi wape, wachache wasikilizwe.
Ukifanya Fact-Check wengi wanasema kwa sasa twende na #NoReformsNoElection, sasa ni muda wa kuunganisha nguvu yetu katika #NoReformsNoElection.
Hivo basi nasihi tuendelee kuheshimu msimamo na mwelekeo wa chama kwa uaminifu na mapenzi yetu yote, adui yetu ni CCM" @VitusNkuna,View attachment 3299874
π π πHebu fikirieni kama Lissu angesema CCM inampango wa kusambaza Virusi vya Ebola na M.Pox? Angehukumiwa kunyongwa hadharani wakati Makala analindwa nq Mapolisi
View attachment 3300383
https://www.facebook.com/Ila mabomu ya machozi yamepunguza nguvu.