No reforms, No election. Huo ndo msimamo wa wananchi

No reforms, No election. Huo ndo msimamo wa wananchi

Ndugu zangu sisi ni waswahili... Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi
Screenshot_2025-06-26-16-30-40-63.png
 
Watu wanaoipigia kura CCM hata kulitamka hilo neno hawajui
 

CCM wanajificha sana kwenye kichaka cha amani, huwezi kuwasikia wakizungumzia haki. Wananchi wametambua kua hakuna amani bila haki. Haki lazima itangulie kwanza.
 
Tanganyika Binge linavunjwa, Zanzibar Bungee linaendelea!!

Ni rasmi reforms zitafanyikia Zanzibar!!?
 
Tushamwomba Mungu afanye jambo, endapo wataendeleza kiburi.

no reforms, no election

#free Lissu#
 

Sikiliza vizuri, utaelewa tuna Rais wa aina gani.
 
Back
Top Bottom