Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,009
- 95,519
sija sema tuoe ahh, msi ninukuu vibaya wazeeToka mwanzo nilijua hiki chama ni dhaifu. Ona sasa kimesambaratishwa na utelezi plus mauno tu, sijui katibu alipewa style gani
sija sema tuoe ahh, msi ninukuu vibaya wazeeToka mwanzo nilijua hiki chama ni dhaifu. Ona sasa kimesambaratishwa na utelezi plus mauno tu, sijui katibu alipewa style gani
got a fine chick in my house, why nitumie omo?S hutaki kuoa unatumia soap sijui omo🥶
Huyu sio wewe?Wanangu ehh we uki pata mke submissive oa tu, hata mahari waki niambia 5m akiwa fresh no dilution mbona safi.
sija sema tuoe ahh, msi ninukuu vibaya wazee
Na nipate familia mkuu nyie msioe muendelee kupanda mnazi na mkono mmojaDuh, kwahyo uchi pekee ndo ulikufanya ukaoa?
😀😃😃😀Huyu sio wewe?
Astaghafirullah 😃Ndoa ni LBL...🤣
🤣🤣🤣AiseeWewe hata mahari unayo mpk utake ndoa?
Ndoa waachie wanaume mashababi nyie kina ngapulila endeleeni kwenda riverside..!!
kuna maharamia waliingilia kati mchezo wakauharibu!..Tatizo vijana wanafikiri ndoa ni mazoea tu, hawajui kwamba ndoa ni biashara. Hata misingi yake iliwekwa kibiaahara..
One pay for the house, the other make it a home. One carries the child, the other fund the journey. One hunt, the other prepare the meat.
Katika dunia ya sasa iyo marriage equation imevulugwa na itikadi nyingi sana mfano feminism, 50/50 n.k. currently there is no benefit for men in marriage
No reforms, no marriage.
Wanangu ehh we uki pata mke submissive oa tu, hata mahari waki niambia 5m akiwa fresh no dilution mbona safi.
Wanao wataishia kuwa watoto wa nje ya ndoaNani kakuambia usipooa hupati familia..?
Hakuna familia bila ya ndoa ,unaweza kuwa na watoto ila sip familia.Nani kakuambia usipooa hupati familia..?
Kikubwa uaminifu tu ,pesa haina tatizo.Wanangu ehh we uki pata mke submissive oa tu, hata mahari waki niambia 5m akiwa fresh no dilution mbona safi.