Bahati nzuri ni kwamba huwezi kuwapangia watu. Kila mtu atafanya vile anavyojisikia. Ndoa is not for weak peopleSemeni vyovyote ila ni ni no reform no marriage full stop..😂
Mamboo babu wewe nikizee sana kabla sijajua jf ulikuwepo hatari sanakwendeni zenu nyie vibibi...😂
Dah hii kali sasa😂 kisa jana nilikukataa haiwezekani uniweke nafasi ya tatu kisa vimtu vyako vikubwa vikubwa vile..!
😒Nimeumia moyoni Uliposema hivi kuna familia moja nimeenda kutoa posa nikakuta mother kapark, Prado TX moja hivi mzee, nikatoka mbio nyingiNa ndio maana mnaishia tu kupanda mnazi na mkono mmoja vijana oeni acheni kupanda mnazi na mkono mmoja ndoa Ina raha yake vijana
We fwala Leo umebadili msimamoWanangu ehh we uki pata mke submissive oa tu, hata mahari waki niambia 5m akiwa fresh no dilution mbona safi.
Kwa nini ukwepe kusema Kidumu chama cha kataa ndoa?Kidumu chama Cha ma jobless pro max
KATAA NDOA on a moveSisi kama vijana wa #Kataandoa tumekuja na "No reform no marriage!".
kwasababu mmekuwa mkitusema vibaya nakuona kama hatuna maadili,hivyo basi kama kuna mambo hayatawekwa sawa sawia basi hatutaingia kabisa kwenye mtego unaoitwa ndoa!.
bila hivi vitu kufanyiwa marekebisho basi hakuna ndoa!.
#Kugawana mali na mke hata zile ambazo nilizitafuta kabla sijakutana nae!.
Hichi kipengele kikirekebishwa itakuwa ahueni!.
#Ifutwe hamsini kwa hamsini!.
Kwa nature ilivyo hairuhusu mwanaume na mwanamke kuwa na haki sawa!, hii hamsini kwa hamsini ni kandamizi kwa kiumbe kinachoitwa mwanaume!.
#Kama hamuwezi kubadilisha hiyo hamsini kwa hamsini basi na wanawake nao kwa kipimo kilekile tunachopimiwa nao wapimiwe iwe ni kazi ama shughuli yoyote. Tuone kinavyowalamba!.
#Swala la malezi ya mtoto mwanaume kama anatoa 50% na mwanamke atoe 50%.. maswala yakupelekana ustawi wa jamii halafu me pekee ndo anazama mfukoni tutakuja kutoana meno!.
#Mahari ifutwe!.
Hii ni sawa na biashara tu!, sasa mtu nimtolee mahali halafu nije nimpe fifty fifty, bima ya afya, nihakikishe kila siku anakula na huduma zake zote nyengine ziniangalie we ulisikia wapi..??
Kama hayo hayawezekani nasisi hatuwezekani hata kwa kuturoga!, yani mkilamba kushoto sisi tunalamba kulia mwendo ni #kataandoa na #noreformnomarriage!.
😅😅😂 kisa jana nilikukataa haiwezekani uniweke nafasi ya tatu kisa vimtu vyako vikubwa vikubwa vile..!
MImi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, naheshimu madaraka yangu makubwa 😂 😂Kwa nini ukwepe kusema Kidumu chama cha kataa ndoa?
Kwani msimamo wangu huwa ni upi?We fwala Leo umebadili msimamo
Madogo wanajichua sana😃😀😀Na kimvua hiki,Kataa ndoa mnalala Kwa shida Sana qmmk😂
S hutaki kuoa unatumia soap sijui omo🥶Kwani msimamo wangu huwa ni upi?
Toka mwanzo nilijua hiki chama ni dhaifu. Ona sasa kimesambaratishwa na utelezi plus mauno tu, sijui katibu alipewa style ganiKwani msimamo wangu huwa ni upi?