888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 445
- 553
Nimejaribu kupitia comments katika mtandao wa Instagram nimeona kwenye kila post za watu maarufu na vyombo vya habari mbalimbali huwezi kukosa comment ya #NoReformNoElection najiuliza kwanini ? š¤
Ni kweli wananchi wameelewa Hiyo kampeni ?
Ni kweli watu hawatashuiriki Uchaguzi Mkuu?
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC wataendelea kuandaa Uchaguzi ama watajaribu kutazama idadi ya watakaoshiriki Michakato ya Uchaguzi?
Bado najiuliza ... Na wewe jaribu kupitia post za huko Instagram na soma comments ikiwa post inahusu masuala ya kisiasa ama uongozi /Utawala comments zitajadili ikiwa hakihusu basi kutakuwa na comments nyingi za No reform No Election