No Reform No Election imekuaje tena

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,059
Reaction score
1,133
No Reform No Election yapoteza mwelekeo Rukwa

Licha ya idadi ndogo ya wananchi wanaohudhiria katika mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kihoja kingine ni kwamba baada ya viongozi kuona idadi ya wanaohudhuria ni watoto wadogo wamelazimika kuwaimbisha nyimbo za watoto.

Hilo limetokea leo mkoani Rukwa, Jimbo la Nkasi Kaskazini, wakati viongozi wa Chadema akiongozwa na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, walipofika kwa mkutano wa kampeni ya 'No Reform No Election'

Soma Pia:




Your browser is not able to display this video.


 
Wewe siyo bure

 
Ndo akili zenu CCM zilipoishia huko.

Mnawaza tu kwenda mikutano ya Chadema asubuhi kupiga picha ili kuwarubuni Watanzania bila kujua kuwa Watanzania wameshawagundua kuwa nyie ni mapunguani.

Tafuteni shughuli za kufanya maana Watanzania wamewachoka.
 
Wamesema hawatashiriki uchaguzi ndiomaana wachache wamejitokeza kwenda kuwasikiliza
 
Mnafuatilia kwakaribu siunajua kadri mnavyoikatikia ndio inawaingia zaidi endeleeni kujitikisa mtakuja kustuka imeshawainga mazima
 
Hata mimi nimeona namna mashaka ya makalla yalivyo na maana kwa Chama chake
 
Badala ya manyumbu kujibu hoja, wanamshambulia mleta mada.

kwani wameshindwa kuleta picha mbadala?

Hakika CHADEMA haiko teyari kuitawala nchi hii, manake kila uchwao wananchi watakapo kuja kuhoji chochote, watatukanwa na kudhalilishwa ka mnavyoona hapa. Na hao juu yawezekana kabisa ni waandamizi wa chama cha CHADEMA.

Kweli manyumbu na machawa wa CHADEMA hawana dhamira.
 
Pic ha hazipostiwi hivyo
 
Jitahidi umtumie na Makala hizo picha, viti maalumu utalamba 🙂
 


Wewe ni mwehu. Mnaenda kupiga picha za waandaaji majukwaa asubuhi ili muwadanganye wasio na akili huko CCM?

Huu ndiyo mkutano wa CHADEMA kata ya mwanzo, kata ya Kurando, Nkasi .

 
Imekuwa kama hivi, Aibu yako hii na waliokutuma
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-24-22-08-26-1.png
    485.9 KB · Views: 38
  • Screenshot_2025-03-24-22-08-34-1.png
    520.2 KB · Views: 38
Uongo mwingine wa kitoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…