Kiwa JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,102 Reaction score 910 Mar 4, 2014 #21 tupe population, sample space na vigezo vya selection ya sample yako katika huo utafiti wako
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,903 Reaction score 172,780 Mar 4, 2014 #22 jembe afrika said: duuuu hizo njaa zenu zitawapeleka kubaya Click to expand... Eti njaa zenu, we ni jiwe kwamba huna njaa
jembe afrika said: duuuu hizo njaa zenu zitawapeleka kubaya Click to expand... Eti njaa zenu, we ni jiwe kwamba huna njaa
Lamchina JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 240 Reaction score 120 Mar 4, 2014 Thread starter #23 Maswali yako hayana tofauti na avata yako.......utasubiri sana mkuu
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Mar 4, 2014 #24 WALIMWEUSI said: Yamekukuta majanga ee! Pole Click to expand... Hivi Wali Mweusi Ndo Pilau?? Samahani Lakini.
WALIMWEUSI said: Yamekukuta majanga ee! Pole Click to expand... Hivi Wali Mweusi Ndo Pilau?? Samahani Lakini.
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Mar 4, 2014 #25 Siku hizi hakuna true love wanaume wanapima upendo kwa papuchi, Ukipenda kula Lazima Uliwe
Mwelewa JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 2,343 Reaction score 3,287 Mar 4, 2014 #26 Ven26 said: Inategemea ntu na ntu bana wapo wenye real love hawana ata shida na pesa yako Click to expand... "ntu na ntu" Tafadhali rekebisha hii.
Ven26 said: Inategemea ntu na ntu bana wapo wenye real love hawana ata shida na pesa yako Click to expand... "ntu na ntu" Tafadhali rekebisha hii.
Vituka JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 2,269 Reaction score 1,269 Mar 5, 2014 #27 tian said: Hivi Wali Mweusi Ndo Pilau?? Samahani Lakini. Click to expand... Bila samahani, umepatia kabisa. Walimweusi ni PILAU.
tian said: Hivi Wali Mweusi Ndo Pilau?? Samahani Lakini. Click to expand... Bila samahani, umepatia kabisa. Walimweusi ni PILAU.
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 538 Mar 5, 2014 #28 WALIMWEUSI said: Bila samahani, umepatia kabisa. Walimweusi ni PILAU. Click to expand... Sawa Mkuu
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,582 Reaction score 3,272 Mar 5, 2014 #29 lamchina said: kwa utafiti mdogo nimefanya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati katika mahusiano hasa kwa waliopo chuoni. Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that. Click to expand... siku hizi kula kuliwa ndo mchezo wa mjini...toa upewe,mapenzi ya dhat hata ndege hawana siku hizi.real love iliisha 1970
lamchina said: kwa utafiti mdogo nimefanya siku hizi hakuna mapenzi ya dhati katika mahusiano hasa kwa waliopo chuoni. Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that. Click to expand... siku hizi kula kuliwa ndo mchezo wa mjini...toa upewe,mapenzi ya dhat hata ndege hawana siku hizi.real love iliisha 1970