Sio tu chuoni, njaa haiangalii elimu....
we jifanye wajua kupenda kama presha haitokuua!!!
...teh. Saivi Ni vitu viwili vinamata; Pesa ni namba moja, Size ya mgegedo + performance baaasi, mengine Si kitu kwa kizazi cha JK.Hahhhahhhahhha kwa tusipende tutachali na presha lol!!!!
Kwa utafiti mdogo nimefanya cku hizi hakuna mapenzi ya dhati ktk mahusiano hasa kwa waliopo chuoni. Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that.
mapenzi yameishia chalinze..
Kwa utafiti mdogo nimefanya cku hizi hakuna mapenzi ya dhati ktk mahusiano hasa kwa waliopo chuoni. Many are cash oriented and support whatever may be needed, usidanganyike na promises za marriage only 3 out of seven manage that.
Hata mikoani hili tatizo linakaribia kuwa janga la kitaifa
duuuu hizo njaa zenu zitawapeleka kubayaSio tu chuoni, njaa haiangalii elimu....