NO PANIC NO FURY

Joined
Mar 30, 2020
Posts
71
Reaction score
106
No panic no fury - usiwe na hofu wala usikasirike , hii ndio falsafa ya ngao, sawa na moyo wa ngao. Falsafa hii inamfanya shujaa wa ngao combat awe nauwezo wa kujidhibiti hasira yake na hofu yake, kwa sababu adui wa kwanza kwa mpiganaji ni hofu na hasira.

Kama mtu atakasirika kupita kiasi anaweza akashindwa kujilinda au kukabiliana na shida au hatari inayo mkaribia, kwasababu moyo wake huenda mbio sana, akili huvurugika na kufanya maamuzi yasio sahihi, pia hupigana bila ya kutumia maarifa sahihi hivyo mtu huyo anaweza kushindwa kabisa kuokoa maisha yake au kuepuka tatizo linalomkabili sana ataongeza tatizo.

hofu
Mtu akiwa na hofu iliopitiliza huwa anashindwa kabisa kujilinda nakutatua tatizo au shida inayo mkabili kwa sababu mapigo ya myo huenda mbio sana, ubongo hupata oksijeni kidogo nakumfanha mtu ashindwe kuelewa nini cha kufanya pindi anapo kuwa katika hatari, pia mwili, mikono na miguu hutetemeka sana nanguvu za mwili humuishia kabisa hivgo mtu huyo hato wrza kasabi kujilinda au kutatua shida itayokua inamkabili.

kwaioyo kama kazini bosi .anakufokea - no panic no fury
.nyumbani kunashida - no panic no fury
. barabarani mtu anakufyatulia matusi - no panic no fury
.mtu akikudharau - no panic no fury

Hii ndio falsafa ya ( ngao combat )
 

Attachments

  • SGN_10_29_2026_1793222427928.png
    1.6 MB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…