No orchid for Ms. Wema Sepetu

mpaka sasa hakuna aliyemtuhumu wema ndio maana kaitwa kuhojiwa ili ukweli upatikane pia alikuwa na haki ya kwenda na mwanasheria wake na ndio maana mpaka sasa yupo uraiani
Vipi media stunt anasafishikaje ikiwa ni innocent?
vipi wewe ukiwekwa ndani akapitishwa kwenye media ukaambiwa una tuhuma za kubaka?
 
mpaka sasa hakuna aliyemtuhumu wema ndio maana kaitwa kuhojiwa ili ukweli upatikane pia alikuwa na haki ya kwenda na mwanasheria wake na ndio maana mpaka sasa yupo uraiani
pia mkuu.unadhani wale wahusika kabisa wakubwa hawakupewa majina yao? mbona hata mmoja hatujamuona akidhalilishwa pale kwenye media?
 
Hahaha naona wanalalamika ooh kakamata wadogo kaacha wakubwa



Makonda size yake watumiaji na wasambazaji wadogo iyo list ya mapapa ni size ya waziri wa mambo ya ndani
Makonda kaza kabisa

Tumeipenda wenyewe chaguo letu wenyewe wacha waisome namba eee
Haka ka song ukiwasikilizisha kule central naamini watatoa chozi mpaka damu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanini mnapenda kupotosha mada makusudi? Mnafikiri hiki mnachokifanya ni kwa hasara isiyowahusu? Bila shaka hata Wema alipokuwa akisikia watu wakipiga kelele dhidi ya kusiginwa kwa katiba na utawala wa sheria, alikuwa akiwa kebehi!
nashukuru mkuu umenielewa! kama ni mtihani ningekupa kibanda/msonge (A) Big up
 
Mbona slaa alijitolea kujenga cdm kwa hali na mali lakini yule makengeza akamfukuza uanachama kisa fisadi edo?
 
Halafu walimkopa

Ile kitu huwa inakopwa!!! Nimegundua wachangiaji wengine wameshindwa kutofautisha kati ya wapigia kampeni na watangaza biashara kupitia kampeni. Wanufaisha chama na wanufaishwa na chama.

Na washawasha!
 
Mbona slaa alijitolea kujenga cdm kwa hali na mali lakini yule makengeza akamfukuza uanachama kisa fisadi edo?
Mada ya Wema hao wengine wamekujaje? ndio maana mnafeli mitihani na maisha.
 
Unaongea kwa kutetea uovu au,,ko haogopwe kisa alikuwa campner ,,,non sense
umejiunga leo na post ya kwanza ni hapa?! naona umependa mada.itifaki ya humu unasoma mada na maoni ya wengine wote ndio unatoa povu lako.sawa imbicile?
 
poor argument,, unataka apendelewe kwa kuwa ni mwanaccm?? think logically
 
poor argument,, unataka apendelewe kwa kuwa ni mwanaccm?? think logically
walewale team kukurupuka! unajidhalilisha bure!soma maoni ya liyopo kwenye mada kabla hujafanya mediocre conclusion
 
Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Kwahiyo hao wasanii wakati wanawafanyia kampeni mlikuwa hamjui kuwa ni wala unga/wauza unga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…