pole.inaonyesha ufahamu wako umeishia hapo mawazo yako yalipogota.ungesoma comment zangu zote ungenielewa.jifunze kusoma na kuelewa.hii post sijaielewa mantiki yake ina maana wema angekuwa upinzani ni ruksa kula ngada au kuuza?
mnaudhoofisha upinzani kwa post kama hizi kama mhalifu ana haki ya kushughukiwa chama hakifichi maovu ya mtu.
Kama una ndoto za upinzani kutwaa nchi tz pole sana . Kwa kizazi hiki cyo rahisi labda baada ya miaka hamsini. Take from me.umeingia chaka.wapinzani wanahusika vepe? mtu akitaka mabadiliko ya utawala wa kuheshimu sheria ni mpinzani? ccm haiwezi kuwa mpinzani? mbona DAR/ARUSHA tiyari ni chama cha upinzani hiyo ccm?
wee ndio pongo kweli unaefikiri kizungu ndio kilakitu nyama wewelaana kubwa ni kusoma na kutokuelewa! sijui shauri ya kizungu nilichoweka humo! imbecile
mkuu mimi itawale ccm/ukawa hawaniletei chakula mezani.nimeongelea utawala wa sheria.haki za mtuhumiwa.sio nani yuko madarakani.soma uzuri mwishoni unielewe.Kama una ndoto za upinzani kutwaa nchi tz pole sana . Kwa kizazi hiki cyo rahisi labda baada ya miaka hamsini. Take from me.
pole.inaonyesha ufahamu wako umeishia hapo mawazo yako yalipogota.ungesoma comment zangu zote ungenielewa.jifunze kusoma na kuelewa.
Fake chadema inayoongozwa an division 0Ccm fake mnoo
Hapa ndio napata picha sahihi kuwa kuipenda FISIEM ni utaahira. Sababu kama TID, WEMA na wengineos mlionyakwa ni makada wakubwa wa FISIEM waliopigika kumnadi SIZONJE ashike hatam.Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
mkuu upo Tanzania au marekani? hujui Rais Tz akisema inakuwa ni sheria? siku ya sheria unajua alisema nini juu ya mawakili? kuna wakili anataka awekwe ndani na makonda?Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not in touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
HIYO NI POST YAKO
SASA WEWE UNAFAHAMU KAMA WEMA ALIOMBA MWANASHERIA AKAKATALIWA?
TUWEKEE HAPA KAMA WEMA KALALAMIKA ILA TUSIINGIE CHAKA.
wewe ndio umekurupuka baada ya kusoma juujuu.maswala ya ccm vepe hapo? naongelea rule of law. Wema is innocent until proven by the court. she don't deserve media stunt that we are seeing.hivi unaelewa ulichoandika unataka mtu akisapoti ccm kama ana tuhuma atetewe halafu mnajiita wapinzani
Wema alikuuzia ganda lini? maccm ni ya ajabu sana kwanini mnajigeuza mahakama?Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
mpaka sasa hakuna aliyemtuhumu wema ndio maana kaitwa kuhojiwa ili ukweli upatikane pia alikuwa na haki ya kwenda na mwanasheria wake na ndio maana mpaka sasa yupo uraianiwewe ndio umekurupuka baada ya kusoma juujuu.maswala ya ccm vepe hapo? naongelea rule of law. Wema is innocent until proven by the court. she don't deserve media stunt that we are seeing.
Kwanini mnapenda kupotosha mada makusudi? Mnafikiri hiki mnachokifanya ni kwa hasara isiyowahusu? Bila shaka hata Wema alipokuwa akisikia watu wakipiga kelele dhidi ya kusiginwa kwa katiba na utawala wa sheria, alikuwa akiwa kebehi!Daaah kama misingi ya vya siasa ni kulindana basi tuna safari ndefu sana.
Yaani kuna watu sasa hizi kazi yao ni kuwatetea wanaotuhumiwa.
Binadamu, hasa watanzania lipi jema kwetu wakiachwa utasikia wanaachwa na ipo siku kwa upinzani watakuja kumtetea mbunge yule wa CCM anayehusishwa na madawa nasema ipo siku tu ikitokea akikamatwa.