Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa
down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako
nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki
kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale
walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
yeyote aliyepo ccm msalitiNi lini Wema Sepetu alikuwa takataka chadema? Kwa maana umeongelea usaliti, sasa usaliti wa Wema Sepetu uko wapi?
sweka ndani hao mashetani, kwanza ni mfano mbaya sana kwa watoto wetu, wanachafua tabia watoto wetu bora tu wakae ndani ustaarabu udumu mtaani. mtu na umri wote ule hana akili kichwani?kama hatumii madawa ni nini sasa?Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Duhh,Mzee riba wanayolipa ni kubwa[emoji23] [emoji23]Pamoja na mazoea ya Red carpet& Vip treatment ni vizuri binadamu tukajua kuwa hujafa hujaumbika iko siku waweza kuwa down to earth. tena iko siku ulio wategemea watakubeba ukijua wako nyuma yako ukigeuka hutawaona.
Nakumbuka huyu Wema akishiriki kampeni ya 'mama sema na mwanao' akifanikisha ushindi mubashara wa chama Lumumba,leo hii hata haki yake ya kuwa na mwanasheria akihojiwa haijapewa uzito na nduguze wa Lumumba. wamemchukulia kama sio mtuhumiwa bali mkosaji aliyehukumiwa.
Tuliotaka mabadiliko hatuna cha kupoteza baada ya utawala uleule kubaki kwakuwa tuko salama rohoni.
tulishanawa mikono,pole kwa wale walioshiriki kutusaliti sasa wanalipa na riba za usaliti wao.
Lumumba ni ileile Jana,leo na hata milele is not touch with poor people,(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.
Kwa hizi akili zako, naanza kuona umuhimu wa chama kimoja tu cha siasa.Ccm kama hawamjui tena na alijitolea hal na mal katika kampen hahah
Hata mkitaka nusu sawa tu.Kwa hizi akili zako, naanza kuona umuhimu wa chama kimoja tu cha siasa.
yeyote aliyepo ccm msaliti