multitalented123
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 126
- 47
pole sana mkuukm mi hapa no option!magu kanitumbua mshahara sijapata mafao ndo kabisa hakuna,watoto wamefkuzwa ada kodi ya nyumba sijalipa!resheni ya msosi ndo Inaishia!acheni hata bando nilojiunga mwez mzima linaisha kesho.msiponiona JF mjue ndo hvyo mpango sio matumizi
Habari za Leo wanajamvi
Katika maisha kuna vipindi mbalimbali ambavyo mtu anaweza kupitia
Ila kuna kipindi hiki ambacho ni "No option" hiki ni kipindi ambacho unavitu vingi sana kichwani ambavyo unataka kuamua lakini kuna mahali vinagoma siku, miezi miaka vinapita ni jambo ambalo linawakuta watu wengi sana
Lakini binafsi nahitaji tujadili pamoja kujua namna ambavyo tunaweza kuondoa hili tatizo na naamini kabisa tutasaidia vijana wengi sana wenye tatizo hili
1.mtu anaweza kumaliza chuo lakini amekaa nyumban capital ya kujiajiri hana, kazi hajapata huyu mtu anakutana na hali ya "No option" tujadili namna ya kuondoka kwenye hii hali ili afanye kitu kwa ajili ya mafanikio yake, na huenda anategemewa pia
2.mtu amemaliza form six hana ufaulu wa kuendelea na chuo kikuu, hela ya kuendelea na shule hana na anatamani kuendelea na shule
Na saa ingine anawaza kufanya biashara ili apate hela aende shule lakini anakutana na "No option" tujadili namna ya kumsaidia
3.Ambaye shule hajaenda may be kaishia 4m2, 4m3, 4m4 au darasa la saba kabisa na anakutana na " No option" na saa ingine ana "Idea ya biashara" ana "location au Market" lakini hana Capital tunafanyaje ili kumfanya afikie ndoto zake
Naamini jukwaa hili tukijadili hapa tutawasaidia wengi
nawaza kwa sauti & nawasilisha
ingia kwenye maombi ya kufunga na kuomba, MUNGU atakutengenezea njiaHabari za Leo wanajamvi

Tunashauriwa hata vyumbani mwetu tuwe tunapanga vitu kwa mwelekeo tofauti tofauti kila baada ya siku kadhaa ili kuifanya akili kuwa na fikra mpya!Usiifunge akili yako kwa kung'ang'ania jambo unalolipenda tu.Kubali kubadilika kulingana na hali iliyopo.Ikibidi badili mahali pakuishi,badili marafiki ili ubadili mtazamo.Hakuna kitu kinachoitwa no option.Daima kuna njia mbadala.
Nimeipenda hii sio bure unakitu cha tofauti ndani yako weweMwambie aandike kwenye karatasi pana maneno haya 'I SEE THERE ARE 1000 OPTIONS' kisha abandike ukutani chumbani kwake pia umhimize kuyasoma na kuyatafakari muda wote atakaokuwa chumbani. Baada ya mwezi mmoja leta mrejesho hapa.
SureUkajikuta huna option keep moving hata zege beba, tembeza hata mitumba chupi na sidiria.... Option itapatikana mbele kwa mbele, no matter what, keep moving
Interesting na "No option ni Kifo tu"Ipo siku njia itafunguka!
Asikate tamaa,awe mtu wa maombi,na matumaini.Walau awe akifanya kazi za kujitolea.
Asiwr negative kabisa.Kukata tamaa mwiko.
No option ni KIFO tu...literally
Mtalipwa mafao ila msiyachezee maisha yatakua magumu zaidikm mi hapa no option!magu kanitumbua mshahara sijapata mafao ndo kabisa hakuna,watoto wamefkuzwa ada kodi ya nyumba sijalipa!resheni ya msosi ndo Inaishia!acheni hata bando nilojiunga mwez mzima linaisha kesho.msiponiona JF mjue ndo hvyo mpango sio matumizi
Beautiful comment, ukiwa JF hukosi cha kujifunzaUsiifunge akili yako kwa kung'ang'ania jambo unalolipenda tu.Kubali kubadilika kulingana na hali iliyopo.Ikibidi badili mahali pakuishi,badili marafiki ili ubadili mtazamo.Hakuna kitu kinachoitwa no option.Daima kuna njia mbadala.
Ameeningia kwenye maombi ya kufunga na kuomba, MUNGU atakutengenezea njia