no maandamano ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

no maandamano ya katiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Nov 23, 2011.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kamishna paul chagonja na deus kibamba wametangza no maandamano ya katiba
  channel ten news bulletin
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  tufanyeje sasa kama kina kibamba wamefyata mkia? mpaka wanaimbishwa na chagonja....this country bana!!!
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Simple! Basi waitishe makongamano nchi nzima!
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Tena Deus anasema hawataki damu imwagike na kuwatahadhalisha wapinzani wanaotaka kumwaga damu ya Watanzania. Sijui wamenunuliwa hawa?

  Hii ni nini lakini? Tumwamini nani sasa wa kutukomboa kutoka kwenye hii katiba ya Magamba?
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  we have long way to goooo!!!
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hakika tuna safari ndefu sana sana. Chagonja anawaimbisha na nyimbo kabisa kama watoto wa chekechea dah!
   
 7. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  As far as I understand, Tanzania tuna mfano wa wanaharakati ila hatuna wanaharakati. Nadhani Kenya, Zambia, Malawi, South Africa na nchi nyingine hasa Ulaya wana wanahatakati. Nilishuhudia wanaharakati Uingereza walikuwa wanapinga uingizwaji mitambo ya nuklia mwaka 1996 (kama sikosei) walienda kulala kwenye reli maana mitambo hiyo ililetwa kwa treni. Kiongozi wao alikamatwa na polisi na akaambiwa aombe radhi ili asichukuliwe hatua za kisheria. Yeye akasema polisi wafanye wanachotaka maana akiomba radhi itaonekana kama walichokuwa wanakipinga hakikuwa na maana. Hata hivyo, polisi walimwachia huru baadaye. Hao ndio wanaharakati - wa kwetu ni wa maneno tu lakini hawako tayari kujitoa kwa lolote. Uharakati wa namna hii siyo busara kuuamini!
   
 8. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Looooong looooong way to go.
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hivi kibamba anaamini tutapata katiba yetu kwa kuwaomba ccmagamba?
  Akae atulie aone game. Hakuna Chagonja wala nini. Chagonja akimwaga ya wanetu asubiri kama wa kwake watapona. Labda awatafutie ukimbizi nje ya nchi lakini kama wanaishi hapa kwetu? safari hii wawe tayari na wao kuonja maumivu.
   
 10. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Magobe T umeongea iliyo kweli kabisa, siwaamini tena hawa watu hata midahalo yao sitaangalia kwa mwendo huu
   
Loading...