Majhura fikiri
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 121
- 13
No!! Sijawahi kua na girly nasikia too kwa jamaa zangu wakilia lia
Kwahiyo wewe ni bikra ??!
Natafuta mwanamke wa kumuhonga
Sasa alitaka wakupende wewe na kengere zako tu??????
Mwanaume tafuta pesa wewe lasivyo sijui..
pesa huna hata sound nayo huna? walishe maneno wakijakugundua uko mbali.. jiongeze kijana
Natafuta mwanamke wa kumuhonga
Wazazi wako unawasaidia?
Almost of girls wa saivi wanapenda sana boys wenye pesa hawampendi mtu kama mtu wanampenda kwa sababu ana kitu.
Kwaiyo katika mapenzi akiumizwa anaanza kuwachukia boyz wote! Wakati sisi wengine hatujawahi kupendwa kabisa kwahiyo msituchukie wengine!
Na saivi wana sema mapenzi pesa but sura nitakuvumilia!Teh teh teh teh!