No longer a marketplace of ideas; it’s an echo chamber!

Those days are long gone, my friend.

The forum has been hijacked by these CHADEMA fanboys and gals.

Mostly fanboys, though.
Stop been bias comrade, not only Chadema fanboys and gals but also your party cadre, there is no difference from both party's supporters in there discussions, it's like a bunch of fools exchanging ideas you can't experience anything of substance from there discussions, in my opinion it's better for you to be more objective while presenting your arguments rather than collecting mere speculations from nowhere and make them centre of your arguments.
 
Stop been bias comrade, not only Chadema fanboys and gals but also your party cadre, there is no difference from both party's supporters in there discussions, it's like a bunch of fools exchanging ideas you can experience anything of substance from there discussions, in my opinion it's better for you to be more objective while presenting your arguments rather than collecting mere speculations from nowhere and make them centre of your arguments.

Okay.
 
Those days are long gone, my friend.

The forum has been hijacked by these CHADEMA fanboys and gals.

Mostly fanboys, though.
Yaani wakosoaji kwenye hii nchi hawako sahihi, ila wanaounga mkono kila kitu wako sahihi? Basi hii ndo nchi bora kuishi kuliko zote duniani!
 
Miaka hiyo waliokuwa wanamiliki smartphone au kuwa na access ya internet walikuwa wasomi wasomi. Siku hizi kila mtu anayo. Mbaya zaidi watanzania wengi tuwajinga sana, Lazima kutakuwa na vurugu.

Lakini hoja nzuri na za kujenga bado zipo sema tu hoja za kuchosha na ligi ndiyo zimezidi.
Mkuu, hapo kwenye bold ndipo penyewe kabisaaa. Sikuhizi hata wajinga wanaingia kokote wanapost ujinga. Likewise, the forum now is full of fools.
 
Nyani Ngabu a. k. a Nyani mzee ni sehemu ya tatizo analojaribu kuwaaminisha wengine kuwa limesababishwa na wafuasi wa CDM. Huyu nyani huwa si mvumilivu kwa wenye maoni ya kumpinga Magufuli! Nimekuwa nikitafakari, kwanini? Nimegundua Nyani ni msukuma!
Nyani you are part of the problem. Kama ni laqala unazistahili. Wakongwe wengine humu angalau wanaweza kuvumilia kusikia maoni yanayokinzana na mitazamo yao, si wewe.
Tamaduni, mila destuli hubadilika. Hata mitazamo ya watu pia. Kwa sasa nchi imegawanyika katika makundi mawili makubwa. Wale wanaoamini magu ni kiongozi mzuri mwenye maono ya kuifikisha nchi kwenye mafanikio makubwa,na wale wanaoamini jiwe ni dikteta, katili na anaharibu uchumi wa nchi. Tupende tusipende, mitazamo hii lazima itatokea humu. Cha msingi tuvumiliane na tuelimishane kwa hoja.
 
JF ndio ile ile mkuu, watu hufa watu huzaliwa, wengine wako bize na majukumu, wengi kama HK, Madelu, Mama Ngwila teuzi zimewaangukia..wengine wamebadili ID kama Msalani, wengine wamebadili itikadi kutoka CCM kwenda CDM na wengine CDM kwenda CCM hivyo wanaona aibu kuja humu kutetea itikadi zao mpya..

Hoja nzuri sio ile tu inayokufurahisha wewe zipo nyingine huzipendi lakini ni hoja nzuri pia, ulichokisema umekiangalia upande mmoja upande mwingine hukuangalia watu kama Stroke, ISIL, Coco chanel nk mbona hawana hoja zozote zaidi ya UCCM hata kwa mambo ya msingi??
 
MAMBA KONKI KONKI KONKI OIL CHAFU,
Kuna kitu kimoja huwa kinanifurahisha sana kuhusu vijana wa upande wa pili,kwenye hii dunia au hapa JF huwa wanajiona wako entitled pekee yao kutoa maoni,huwa hawana uvumilivu hata kidogo and the funny part wanataka uhuru wa kujieleza. Pasco akitoa maoni yake positive upande wao wanaona yes huyu jamaa is the man,siku akiwaonesha panapovuja hao hao wanakuja wanasema anataka uteuzi,na Hawa sio watoto hata kidogo.
Na kwny huu Uzi watajidhihirisha hapa hapa
Wewe ni wakala wa Membe na mpinzani wa JPM
 
That is exactly what to expect when you have lilliputians at the head of the political life of a country; all the discussion invariably turns out to be about personalities rather than meaningful ideas to take the country foward. And since the supporters of the establishment are more numerous than those of the opposition the truth is that the leadership of the opposition is the most bashed.
 
Wengi wanaojiita wakongwe wamebadika sana ukisoma michango yao ya sasa na zamani utaona kuwa wengi wamekuwa wapumbavu kuliko hata sisi wapya... Mtu pekee ambaye anajtahidi kuleta threads za maana Barafu ...lakin wengi ya Wanaojiita wakongwe hawachangii akiwemo huyu Nyani Ngabu ..
 
You're losing your touch my friend!

Since when is there no opposition in a freely democratic state? Who is suppose to check the 'exertion of power' of those in the office?

Do you want all the citizens to turn blind eye on all what the leading party is doing? How many times have the opposition spoken well about the leadership and what they are doing? (A few hundred times). I am not a politician but i am intelligent enough to see that you are forcing us to believe that we practice free and fair elections, freedom of speech and expression e.t.c.. You have become blinded by power and personal gains and forsaken the future of this infant nation.

Once again Mr. Ngabu i am telling you this; I am feeling sorry for your children. How will your name go down in history?

You are missing the point. Mr Nyani Ngabu concerns is about the level of tolerance when it comes to discussions here. It is not about who is right or wrong. Hatuwezi kufanana mitazamo. Tunapaswa kuheshimiana kwa mitazamo yetu. Kama tutashindwa kutambua hilo basi hakuna tena haja ya mijadala humu ndani. Maana watu wote walio sober watakaa pembeni yatabaki makelele tu na matusi ambayo hakuna yanachosaidia
 
Mh, take not that by then most of members were old and accessed the Internet through offices. As of now I presume they are septuagenarians, things are really higgledy-piggledy probably the admins should be approving post by post to preclude these shenanigans from umpteen nonsence ideas
 
Marketplace of divisive politics and hatred. I went to school immediately after independence and became fairly conversant of what the colonial authorities did to us during the struggle for independence. Comparing to what those in power today are doing to those out of power you wonder why we fought for independence in the first.
 
Miaka hiyo waliokuwa wanamiliki smartphone au kuwa na access ya internet walikuwa wasomi wasomi. Siku hizi kila mtu anayo. Mbaya zaidi watanzania wengi tuwajinga sana, Lazima kutakuwa na vurugu.

Lakini hoja nzuri na za kujenga bado zipo sema tu hoja za kuchosha na ligi ndiyo zimezidi.
Hao "WASOMI" wa Siku hizi waliobebea kwenye UNAFIKI kumsifia MAGUFULI kila mahali, sioni usomi wowote hapo.
 
Rather, it’s an echo chamber full of deranged anti-Magufuli CHADEMA fanboys who are uber-intolerant of others’ points of views which are different from theirs. They are very puerile!
====
You nailed it firmly, NN.
 
Back
Top Bottom