Unaweza kumjua mtu kupitia maneno yake na mambo ambayo ameandika na anayoandika.Mimi najua ata tabia ya mtu kulingana na vile anaandika.Hivyo wewe nishakusoma mkuu
Unashindwa nini kuelewa NYANI ni mtoto aliyemaliza high school akaenda straight college USA .
Huwezi kumjua. Unaweza ukapata taswira flani juu ya huyo mtu lakini kumjua kamwe huwezi.
Lakini, kama nilivyosema hapo juu, sidhani kama una uwezo wa kutofautisha kati ya kujua na kudhani.
Ila, kama kweli unanijua basi nakupa ruhusa hapa uweke majina yangu yote, umri wangu, tarehe yangu ya kuzaliwa, elimu yangu, mahali ninapoishi, hali yangu ya kindoa, kazi ninayofanya, na kingine chochote kile kunihusu mimi.
Haya, kazi kwako.....
Pia it's against a law hapa NY.Halafu aliwaambia
Nina athma.
jina naweza nisikujue ili umri wewe umeenda sana ilo halina ubishi na kuhusu tabia .Mada zako na uchangiaji zinaweza kuonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
I think you are semi-retarded!
umekuwa ukijiweka kama law and order conservative iliyesema "sikubaliani na njia zisizo halali" za kutafuta kipato.Hii hata mimi sikubaliani nayo aisee.
Baba wa watu alikuwa anajitafutia riziki yake kwa kuuza visigara
umekuwa ukijiweka kama law and order conservative
iliyesema
"sikubaliani na njia zisizo halali"
Bado una sympathize na alichukuwa akikifanya marehemu?
Too sad
ndio maana nikasema Nyani Ngabu ni mzee lakin anajiweka kijana ili naye aonekane kijana lakin ukweli ni mtu mzima sana kidingi alivuka steji kadhaa za ujana ila sasa ndio ameamua kurudia.
Shikamoo tena Nyani Ngabu
Wabongo kwa kujali number!, yaani mtu akifika 30 that's it, kazi kwishney mnataka asifanye lolote zaidi ya kukaa chini na kula ugoro!, ndo maana watu wanakufa mapema
Mimi sijawa nikijiweka kama law and order conservative.
Umeitoa wapi hiyo nukuu?
Binafsi sibariki kabisa ushiriki wa yeyote yule katika mambo haramu.
Umenukuliwa ukisema haya:
Kwa hiyo, unapo ji paint kama ultra purist fulani hutegemewi tena uje utetee hata anaeuza sigara kinyume na sheria. Watanzania tuna hulka ya kutoa ma absolutist blanket statements bila kujua implications zake.
How old are you cuzzo?[/QUOT
In my 30s
ndio maana nikasema Nyani Ngabu ni mzee lakin anajiweka kijana ili naye aonekane kijana lakin ukweli ni mtu mzima sana kidingi alivuka steji kadhaa za ujana ila sasa ndio ameamua kurudia.
Shikamoo tena Nyani Ngabu
Hii hata mimi sikubaliani nayo aisee.
Baba wa watu alikuwa anajitafutia riziki yake kwa kuuza visigara wakampiga kabali na kusababisha kifo chake (hata kama alikuwa na pre-existing conditions).
Hapa grand jury imechemsha.