Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
We dogo unaujua umri wangu?
Halafu huyo Koba ni kibabu kumzidi hata mshua wako.
wewe una mtoto mkubwa sana kulingana na maelezo yako ya nyuma na post zako wewe ni kidingi fulani ila kutokana na exposure umerudi ujanani ila kiumri Shikamoo.
Wewe above 50. Koba najua yuko 20's wewe ni kama dad nakuheshimu sana maana kiumri unanizaa kabisa

You all try to be nice.Dont get personal it's nice cool .mtoto anaingiaje ?.It doesn't cost anything to be nice
Simjui NYANI ila ni mtoto wa miaka labda 38 -40.Brother man wa shaban Robert or mzizima.Ana andika American English . 50 years old hawaandiki American English wana andika nnimesoma mtoto kuonyesha alivyo mkubwa na pia kumpa heshima yake.Ukweli ndio huo Nyani Ngabu ni mdingi fulani ila ataki kukubali tu
wewe una mtoto mkubwa sana kulingana na maelezo yako ya nyuma na post zako wewe ni kidingi fulani ila kutokana na exposure umerudi ujanani ila kiumri Shikamoo.
Wewe above 50. Koba najua yuko 20's wewe ni kama dad nakuheshimu sana maana kiumri unanizaa kabisa
Simjui NYANI ila ni mtoto wa miaka labda 38 -40.Brother man wa shaban Robert or mzizima.Ana andika American English . 50 years old hawaandiki American English wana andika n
British / German heavy accent .
mimi sitanii kama ni uchizi bora kuwa chizi wa kusema ukweli na kuamin kile nasema
Nyani Ngabu Cuzzo I didn't know you're octogenarian?!,....lol!
You look pretty good for your age!, well, black don't crack!
NYANI ataita Elevator wewe STUNNA utaita Lift .NYANI ataandika RESTROOM wewe STUNNA utaandika TOILET .Umeelewa stuna .
ur not octogenarian coz ur age is between 50-60 not 80-89
mi sijafika 30 hivyo ni wajibu wangu kukuheshimu kulingana na mila za kiafrika.
Nyie wazee wengine mkipewa shikamoo mnamind sana hamtaki.Lakin lazima nikupe heshima yangu we kama baba au mjomba
Respect his opinion and he will respect yours .Ni opinion yake huna haja ya jazba.lakin zote maana ni sawa,mi si complicate mambo,Nyani Ngabu anacomplicate maisha .Maisha ni rahisi tu mzazi,baba,mjomba Ngabu .
Relax mbona jazba
mimi sitanii kama ni uchizi bora kuwa chizi wa kusema ukweli na kuamin kile nasema
Kusema ukweli na kusema kile unachokiamini ni mambo mawili tofauti kabisa.
Mimi wewe hunijui kabisa kwa hiyo huwezi kusema ukweli wowote ule kuhusu mimi.
Ila nakusamehe tu kwa sababu sidhani kama una uwezo hata wa kuelewa nilichokiandika hapa.
Uwezo wako ni mdogo sana.
ur not octogenarian coz ur age is between 50-60 not 80-89
mi sijafika 30 hivyo ni wajibu wangu kukuheshimu kulingana na mila za kiafrika.
Nyie wazee wengine mkipewa shikamoo mnamind sana hamtaki.Lakin lazima nikupe heshima yangu we kama baba au mjomba
Nyani Ngabu Cuzzo I didn't know you're octogenarian?!,....lol!
You look pretty good for your age!, well, black don't crack!
Unaweza kumjua mtu kupitia maneno yake na mambo ambayo ameandika na anayoandika.Mimi najua ata tabia ya mtu kulingana na vile anaandika.Hivyo wewe nishakusoma mkuu