hapo hakuna tatizo
msichana ukimkoleza hata uwe ulimtukana baba yake utasamehewa
wewe anza kumkoleza taratiibu
hapo hakuna tatizo
msichana ukimkoleza hata uwe ulimtukana baba yake utasamehewa
wewe anza kumkoleza taratiibu
Yaani wewe the boss ndo real brother, mi naomba ushauri wanaanza kuponda tu domozege, I play a lot with her sisters but hapa nimenasa hadi nimekuwa domozege, hawajui sehemu ukipenda kweli ujanja unaisha, hebu funguka brother hizo step as binti na dada yake wanapatana sana
Hahahaaaa ama kweliiii
Yaani wewe the boss ndo real brother, mi naomba ushauri wanaanza kuponda tu domozege, I play a lot with her sisters but hapa nimenasa hadi nimekuwa domozege, hawajui sehemu ukipenda kweli ujanja unaisha, hebu funguka brother hizo step as binti na dada yake wanapatana sana
Mkuu naona unaogopa kutoswa hata kabla hujatoswa
Ingia hapo na fanya the way The Boss ameshauri hapo
Fanya kweli na usiogope lile ambalo halipo maana umeanza kuliogopa hata kabla halijawa issue
si useme tatizo lako sio dada yake bali ni udomo zege wako....:shetani:
Na mimi naamini sina nia mbaya na binti hiyo if God wishes tujenge nae familia,
Wadau tupeane tips nitoke vipi
Mahabuba hebu mpatie zile tricks zako ulizonilegeza mie mpaka nikasahau ugomvi wa wazazi wetu......usimbanie banaaa
Ondoa inferiority complex kutokana na tatizo ambalo haukulisababisha wewe wala huiyo mpenzi wako. Mapenzi ya kaka yako na dada yake wala hayana uhusiano na mapenzi yako wewe na yeye. Fuata ushauri wa Boss, lakini angalia sana hisia zako za jinsi kaka alivyomtenda dada yake zisije kuwa kikwazo hapo baadaye. Focus kwenye mahusiano yako wewe na huyo binti, hayo ya kama yako na dada yalishapita zamani na hata mkiyajua, mweleweshe binti kuwa hayana uhusiaono wowote kati ya wewe na yeyeHeshima kwenu brothers and poleni na majukumu,
Nahitaji kushare mawazo na wenzangu naomba wapondaji wakae kimya is only ushauri needed,
Mi ni kijana wa 25 yrs graduate and working somewhere in town, kuna msichana around 21yrs I have interest on her but nakosa kwa kuanzia kutokana na scenario behind us, huyo binti yupo chuo first year now hapa dar, nakosa pa kuanzia kwa sababu my brother alikuwa anadate na dada yake na alimkuja kumtosa vibaya na kuoa mwingine na hii alileta kama chuki kwa familia yetu lakini ukweli ye ndo sababu as alikuwa anacheat wakati bro yupo nje kimasomo na anahisi si ndo tulisababisha asiolewe, sasa huyu binti hajui kama mimi ni mdogo wa X aliyemfanya dada yake atake kujiua those days,
Na mimi naamini sina nia mbaya na binti hiyo if God wishes tujenge nae familia, nashindwa nimset vp atleast for a date as sitaki dada yake ajue hadi mambo yatapochanganya, I think ninavyo vigezo vya college ladies vya kijinga as a car, a job, etc but nakosa point as her sister hanipendi, huyo binti nimekutana nae juzi nikafanikiwa kupata namba sasa next step ndo issue as dada yake akijua ni balaa
Wadau tupeane tips nitoke vipi