Mkuu, issue ni deal tu....kwani vile vituo vya mabasi yaendayo kasi vilivyojengwa fasta fasta vitatumika? Barabara inapita kwingine, vituo vipo kwingine
Hivi mbona hawataki hata kuviondoa tu....yaani wale dili lingine la kujilipa na kuviondoa...angalao kuondoa huu mkanganyo wa sasa.........ukiwa mgeni huendeshi gari Dar!
haswa hiyo samora ndio inachanganya kweli, kuanzia mnara wa askari hadi shaban robert. Na Sokoine drive kuanzia posta ya baharini hadi stesheni. Kama mtu ni mgeni huwezi kuendesha gari mjini kati, tunaendeshea uzoefu tu.