NO DISK (SONY HOME THEATER)

NO DISK (SONY HOME THEATER)

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,958
Watalaam. Salaam na Amani kwenu.
Hii ni meseji ninayopata nikiweka DVD yeyote. Ilikuwa nzima muda wote,ila kuna dvd ilibaki ndani ya deki muda miezi 2 hivi,nilipotoa kuweka zingine napata hiyo meseji.

Kabla mafundi uchwara hawajachakachua naomba tena mnijuze kurekebisha hili nifanye nini, mashine ina mdundo mzuri tu kwa nyumbani.

Nimethamini sana michango yenu wakuu, inawezekana kwenu dogo mimi linanisumbua
 
Jaribu kwanza kununua lens cleaner disc, usafishe huyo, ikigoma ujue Lens imekufa, badili jicho
 
Jaribu kwanza kununua lens cleaner disc, usafishe huyo, ikigoma ujue Lens imekufa, badili jicho
Poa asante sana watalaam. Mafundi wazuri wachache ndio maana tunaanzia humu kupata ushauri.
 
Hata mm nipipata tatizo kama hilo ila niliifungua na kusafisha jicho la lensi na cotton buds(pamba za kusafisha sikio) ikakubali
 
Hata mm nipipata tatizo kama hilo ila niliifungua na kusafisha jicho la lensi na cotton buds(pamba za kusafisha sikio) ikakubali
Hallo Jay kwenye cottin buds uliweka kitu yaani spirit au ulitumia hivi hivi kavu ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom