No defense for Reagan's racism, says daughter

No defense for Reagan's racism, says daughter

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,752
Reaction score
47,081
View attachment 1170634
Screenshot_20190802-203628.jpeg
Screenshot_20190802-203645.jpeg
 
Na hiyo ni meseji kuwa ukishaondoka madarakani kuna siku sauti yako "iliyodukuliwa ikatunzwa mahali" watu wanaweza kuiachia!. Kilichofanyika sirini kitawekwa hadharani
 
Kitendo cha sisi waafrika kuachiwa nchi zikiwa vizuri kiuchumi wakati wa uhuru na baadaye kuja kuziharibu wenyewe ni moja ya sababu inayofanya tudharauliwe sana duniani. Kweli sisi ni watu bogus sana.
 
nitajie angalau nchi 3 tu za kiafrica zilizoachwa vizuri kiuchumi
 
Kitendo cha sisi waafrika kuachiwa nchi zikiwa vizuri kiuchumi wakati wa uhuru na baadaye kuja kuziharibu wenyewe ni moja ya sababu inayofanya tudharauliwe sana duniani. Kweli sisi ni watu bogus sana.

Nchi Gani iliachwa vizuri? Afu wao wataishije.
 
Back
Top Bottom