Mimi nimejitahidi kumuangalia mmoja aliyebeba bango lenye jina la jimbo letu lakini sikumfahamu, hata nilipowauliza waumini wengine hapa jimboni hakuna anayeonekana kumfahamu! Sasa na hii picha wachungaji wote wakiwa wamepiga suti zinazokaribia kufanana ni swali lingine kwangu. Isije kuwa aliyepewa pesa ya kuorganize huu 'mchezo' kawakusanya wazee wa kitaa na kuwapiga suti pamoja na vineck tie vyeupe! Ukweli utajulikana tu.