No Comments

Chonde chonde bro....watoto wa watu tu hapo mtaani..maana inaonesha anahali mbaya sn
 
ukimjua adui yako hakusumbui.
huyu jamaa ni great thinker.
 
itakuwa imemfanya afilisike, kahonga kila kitu sasa hana kitu bado inataka tena,ndo inaipiga mkwara
 
Khaa ndevu ka msitu wa mabwepande! Hebu ajaribu kufumua awekewe tobo aone watakavomshughulisha,ashukuru mara nyingi kadri awezavo kwa kujaliwa kupewa
 
Kuna nyengine mpaka zipigiwe tarumbeta ndo zisimame na hii naona mpaka ishikilie bastola.
 
Amegundua mara nyingi ubongo wake ukihamia hapo kwenye kichwa cha chini anakosa maamuzi ya busara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…