No comment

Na ameahidi kufufua kiwanda cha nguo cha Tanalec Arusha.:A S angry:
 
Na ameahidi kufufua kiwanda cha nguo cha Tanalec Arusha.:A S angry:

Nitakuwa wa kwanza kwenda kununua nguo hapo inaelekea zitakuwa nzuri sana :happy::happy::happy::happy:
 
Shule gani hiyo watoto wanakaa wawili kwenye dawati moja?
 
Utaongozwaje na mtu asiejua nchi hii jamani wala historia ya dunia ebu tuacheni upuuzi bana tujitambue
 
Mkuu umesoma wapi wewe, sisi tulikuwa tunakaa watatu dawati moja

Si afadhali nyie mlikua mnakaa kwenye dawati hata kama ni watano, nimeanza shule tunakaa chini na unaandika chini, baadae mnapewa vibao vidogo unaandika kwa chaki kabla ya kuanza kutumia penseli. Wakati kuo ndio wengine wanakalia mawe na wachache wanagombania nafasi adimu kwenye madawati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…