No comment

tatizo la watanzania wanaugua unyafuzi wa akili.
 
Tatizo siasa au akili ndogo kuongoza akili kubwa... ????
 
1 Tatizo ni akili kidogo (upugufu wa maarifa)
2. Wananchi hawana utamaduni wa kutaka kujua/ kuhoji mambo
 
Na pia ukumbuke pesa yao iko juu kuliko makaratasi yetu haya,ina maana kikawaida namba za tz zilitakiwa ziwe Kenya na Kenya ziwe tz.but woooooooooooo.

Kuishi tz ni ujasiri na roho ngumu kuliko almasi,hongereni wabongo.
 
Mbali ya Al-Shabaab walivyo waandama bado wanaweza.
 
Kuna vitu vingine vinatia hasira sana! Na tambua kwamba, hiyo fedha yetu ikibadilishwa kwa ya Kenya inakuwa kichekesho!
 
Japo silifurahii hili, kwa akili yangu nimemwelewa kipanya kuwa keshakokotoa hiyo thamani kuwa ya tz yote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…