No comment.

No comment.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
CBq--OPVIAAVeqi.jpg:large
 
Maana ya hayo hayaendani na hiyo kazi anayofanya ya kuuza maembe!
 
"Human Dignity Is Working Hard"
mzee hiyo ni nahau. ubinadamu kazi, maana yake ni kuwa, watu wengi hawana ubinadamu na ili uwe na ubinadamu yakupasa kujitolea, watu wengi wameshindwa kuwa na ubinadamu kwasababu inahitaji sacrifice. ni kazi sana mtu kuwa na ubinadamu, hai uwe na moyo wa upendo, kuwapenda wengine, kujitolea kwaajili ya wengine etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom