No comment.

No comment.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
10665893_359776304207392_8361813423784009625_n.jpg
 
nilipojua kwamba Lowassa anawatu wanampenda tu bila hata sababu ni jana.
niliingia kwenye duka la mkaka mmoja yeye anashughulika na branding nikitaka anitengenezee bango la biashara.
nilimkuta katengeneza vikombe kama 6 hivi kaviandika neno hilo hilo af ndo mgeni ukifika ofcn kwake anakuwekea kahawa.

nilishindwa kujizuia nikamuuliza mbona umeweka chapa vikombe vyako? akanijibu mbona wewe vya ofsn kwako vimeweka chapa ya donated by US? nikamjibu wao ni wafadhili wa kazi nyingi za ofc yetu je inamaana wewe yeye ndo mfadhili wa hii ofc yako?

akasema hapana mi nilijua mnapenda tu kuandika hivyo, na ndo mana hata mie nimejiadikia vikombe vyangu hivyo. Lkn ukweli ni kwamba nampenda awe rais wa hii nchi na ndiye rais tunaye mtaka. nikamuuliza umewah kumuona japo kwa macho tu ukaongea nae akasema hapana wala hanijui ila nampenda tu. nikaishia kusema kazi ipo duniani hapa.
 
Haki ya nani Lowassa akikosa nafasi ya Uraisi atakunywa sumu au kujinyonga kabisa...take my words
 
Kazi ipo...wakimkata anaenda pamoja na Zitto hapo ndio kutakuwa na siasa za kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom