M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 20, 2014 #2 Paka akiondoka panya hutawala na kuna msemo mmoja ite wananitishia nyau kumbe wana jichekisha na kufurahi tu
Paka akiondoka panya hutawala na kuna msemo mmoja ite wananitishia nyau kumbe wana jichekisha na kufurahi tu
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,018 Nov 20, 2014 #3 Hahahaaa Sipati picha upo una approach unakutana na maneno kama hayo
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 20, 2014 #4 Kweli ninachokifikiria mimi sio anachokifikiria mwingine