Ukitaka kujua maisha ya mjini ni mbwembwe ndio maana hatuishi muda mrefu angalia hao...Dhiki zao lakni amefikisha hadi maisha ya uzee na yuko Strong bado....Chukua mzee wa mjini wa hivyo halafu mwambie achuchumae, atapiga mikelele ya miguu kuuma ile mbaya...