No comment

Ni kweli kabisa hata mi yashanifika hayo na hasa pale nilipoishewa na njuruku mfukoni tena na mitusi mizeto mizeto lakini kwa udume wangu sikujibu kitu nikafungasha virago vyangu na nikaingea mtini kimya kimya na hivi sasa nipo njiani kumtafuta mwenza mpya
 
Harafu sasa hivi walivyo wepesi kuwapata ukiwa na shilling....haichukui hata dakika....ila uwe umechoka uone...duh
 
Which means Mchepuko ni Dili Now.. Ha ha ha.....
Wapi Kibonde?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…