No comment

KGB hili, linajua mtapitia na Micamera yenu ya HD na baadaye M-zoom na kusoma anaandika nini.

Anachora kwanza mistari na mwendo wa nyoka na baadaye anaweka maneno yake atakayoweza kusoma yeye tu na kimashine chake alichonacho kwenye ndege. Mpelelezi habadiliki hata awe Rais.
 

Hii kweli kiboko ya paparazzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…