sijafamu hapa - nini lengo la viongozi wa dini kukutana na waziri wa nishati. Ingekuwa waziri mkuu au waziri wa mambo ya ndani au elimu / afya / ustawi wa jamii kuna muelekeo - hata hivyo ni kitu kizuri kuona viongozi wote wa dini wakiwa pamoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.