inauma sana halafu unakuta kuna mtu mmoja anatumia hela zake ambazo kawaibia wananchi ndiye anasababisha haya ili apate madaraka. Ee Mungu uwape baraka ili na wao wajione wanahaki ya kuishi kwa amani na kulelewa kama ilivyo mipango yako na kusudu la kumuumba mwanadamu na kumtakia Amani, Amina.